Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

Watu hao nawaonaga kichwani kama kidogo dish limeyumba
Mpaka leo hii hata nkikutana na star yoyote siwezi kuchanganyikiwa,

Ova
Kaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)
 
"Ndio. Dayamondi Platinumzi."
~Alisikika mpuuzi mmoja akipayuka.

Hiyo inaitwa kuwa musical genius. Yaani kila ngoma ya Michael Jackson unayoisikia kama hutochezesha kichwa basi utachezesha mguu. Naweza sema Michael Jackson aligundua siri fulani kati ya music na aina za rhythm na ubongo wa binadamu. Sababu ngoma zake hazikujali kama umekulia New York au umakondeni ndanindani. Kila mtu alikuwa akisikiliza effect ni ileile. Na that's why ni msanii aliyekuwa akijulikana dunia nzima. Hicho kitu sio cha kawaida. Nina imani hata Aliens kama wapo basi watakuwa wanasakata rhumba ya huyo jamaa.

Truly a musical genius.
Kabisa, miaka hiyo mimi na bi maza wangu wote hatukuwa tunaelewa English ila mwamba tuliruka ngoma zake πŸ˜‚
 
Kabla ya kutoa video humwaga maelfu ya mapepo ya kuleta mvuto na kila anapo perform yanamwagwa tena.
Kwahiyo hao wanazimia kwa influence ya mapepo.
Muziki wowote unabeba roho that's why sifuatilii secular music mama unabeba roho chafu.
 
Kaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)
Hahaha bora umekuwa mkweli
Kwenye kuzimia πŸ˜„

Ova
 
Muulize Makamua wa Wakali kwanza ,kipindi wako hot ,kuna show yao moja, Shabiki wa kike alienda jukwaani ku hug Makamua hapo hapo akazimia
 
Back
Top Bottom