P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
- #61
unaambiwa hiyo miwani aliivua taratibu ili kuepusha watu wasife πππMimi pia nimezimia baada ya kuvua tu miwani ndo nazinduka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaambiwa hiyo miwani aliivua taratibu ili kuepusha watu wasife πππMimi pia nimezimia baada ya kuvua tu miwani ndo nazinduka
Wanapangwa hao, mtu anazimia huku simu yake kaishika mkononi bila kuiachia.Hata diamond platnumz aliwahi kuzimisha wananchi.... πππππ
Nadhani mpaka leo anashikili rekodi ya kuuza album milioni 750 kwenye album yake ya Thriller. Sijasikia rekodi nyingine ya mwanamuziki kufikia level hizo.Michel Jackson huenda ndiye mwanamuziki pendwa kuwahi kutokea hapa Duniani
Hapangwi, diamond platnumz anajua Sana muziki, wa Nigeria Wana mwiita MICHAEL JACKSON WA AFRICA. πππππWanapangwa hao, mtu anazimia huku simu yake kaishika mkononi bila kuiachia.
hao siwajui aisee, alafu wote wanaanza na Tx au ni nduguWapo wengi sana..
Unamjua Tx dullah
Au Tx Subaru
Huyu jamaa ni mtanzania lakini kwa sasa nahisi yupo dubai..hao siwajui aisee, alafu wote wanaanza na Tx au ni ndugu
Kabisa kaka, bi mkubwa wangu anamkubali sana huyu mwamba. Nakumbuka mimi mwenyewe nilimjuwa kupitia yeye miaka ya 2006Michel Jackson huenda ndiye mwanamuziki pendwa kuwahi kutokea hapa Duniani
Kaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πππ)Watu hao nawaonaga kichwani kama kidogo dish limeyumba
Mpaka leo hii hata nkikutana na star yoyote siwezi kuchanganyikiwa,
Ova
Kabisa, miaka hiyo mimi na bi maza wangu wote hatukuwa tunaelewa English ila mwamba tuliruka ngoma zake π"Ndio. Dayamondi Platinumzi."
~Alisikika mpuuzi mmoja akipayuka.
Hiyo inaitwa kuwa musical genius. Yaani kila ngoma ya Michael Jackson unayoisikia kama hutochezesha kichwa basi utachezesha mguu. Naweza sema Michael Jackson aligundua siri fulani kati ya music na aina za rhythm na ubongo wa binadamu. Sababu ngoma zake hazikujali kama umekulia New York au umakondeni ndanindani. Kila mtu alikuwa akisikiliza effect ni ileile. Na that's why ni msanii aliyekuwa akijulikana dunia nzima. Hicho kitu sio cha kawaida. Nina imani hata Aliens kama wapo basi watakuwa wanasakata rhumba ya huyo jamaa.
Truly a musical genius.
Mapepo huwapata sana wanawake.ila naona wengi wao ni wanawake ndo wanachanganyikiwa
Duuh, ila uzimiajo huu kwa MJ sio wa kukosa pumzi ni vibeHuyu jamaa ni mtanzania lakini kwa sasa nahisi yupo dubai..
Show zake nyingi watu huzimia
DuhKaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πππ)
Hahaha bora umekuwa mkweliKaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πππ)
Fatilia show za huyo jamaa utanipa jibuDuuh, ila uzimiajo huu kwa MJ sio wa kukosa pumzi ni vibe
Fatilia show za huyo jamaa utanipa jibu
Sio huenda"'NDIYE""Michel Jackson huenda ndiye mwanamuziki pendwa kuwahi kutokea hapa Duniani