OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Eti fremason
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye D mbiliWakongwe tu ndiyo wanaoelewa.
Una uhakika na ulichoandika utuwekee ushahidi?Alikuwa VIP na nikipindi akiwa waziri enzi za mwinyi au mkapa
hapana mkuu sidhaniEti fremason
ila naona wengi wao ni wanawake ndo wanachanganyikiwaWatu hao nawaonaga kichwani kama kidogo dish limeyumba
Mpaka leo hii hata nkikutana na star yoyote siwezi kuchanganyikiwa,
Ova
Mkuu na yeye alizimia?Jakaya alikuwepo hapo
Ni kweli kwasababu nyimbo zake nyingi zilizungumzia jamii ya dunia nzima na wala si Ulaya na America tu. Sikiliza Heal the World, We are the World and the mirror etc.Michel Jackson huenda ndiye mwanamuziki pendwa kuwahi kutokea hapa Duniani
ni level tofauti sana ardhi na mawinguKuna watu wanajaribu kumfananisha na kina Kris, Asha etc
MJ ni mwamposa aliyechangamkaMJ na mwamposa ni wa baba na mama mmoja wote ni "wasanii" kila mmoja katika era yake,hapo watu wameshapangwa na wamefanya rehearsal kabisa ili wavunge wamezima.KUTAFUTA PESA NA FAME SIO JAMBO DOGO ETI[emoji41]
Sinza pazuri anakwambia MJ angekaza kidogo angefikia level za mondi simba la masimbaMichel Jackson huenda ndiye mwanamuziki pendwa kuwahi kutokea hapa Duniani
Yupo Msanii tapeli....Mwamposa na mungu wake feki mwenye nafsi 3