Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

"Ndio. Dayamondi Platinumzi."
~Alisikika mpuuzi mmoja akipayuka.

Hiyo inaitwa kuwa musical genius. Yaani kila ngoma ya Michael Jackson unayoisikia kama hutochezesha kichwa basi utachezesha mguu. Naweza sema Michael Jackson aligundua siri fulani kati ya music na aina za rhythm na ubongo wa binadamu. Sababu ngoma zake hazikujali kama umekulia New York au umakondeni ndanindani. Kila mtu alikuwa akisikiliza effect ni ileile. Na that's why ni msanii aliyekuwa akijulikana dunia nzima. Hicho kitu sio cha kawaida. Nina imani hata Aliens kama wapo basi watakuwa wanasakata rhumba la huyo jamaa.

Truly a musical genius.
 
Back
Top Bottom