Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

Watu hao nawaonaga kichwani kama kidogo dish limeyumba
Mpaka leo hii hata nkikutana na star yoyote siwezi kuchanganyikiwa,

Ova
Kaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)
 
Kabisa, miaka hiyo mimi na bi maza wangu wote hatukuwa tunaelewa English ila mwamba tuliruka ngoma zake πŸ˜‚
 
Kabla ya kutoa video humwaga maelfu ya mapepo ya kuleta mvuto na kila anapo perform yanamwagwa tena.
Kwahiyo hao wanazimia kwa influence ya mapepo.
Muziki wowote unabeba roho that's why sifuatilii secular music mama unabeba roho chafu.
 
Kaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)
Duh

Ova
 
Kaka labda wewe sio shabiki kindaki ndaki, mimi nikipata chance ya kukutana na msanii namkubali kinoma noma asee sijuwi ntareact vipi shehe (Ila kuzimia uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)
Hahaha bora umekuwa mkweli
Kwenye kuzimia πŸ˜„

Ova
 
Muulize Makamua wa Wakali kwanza ,kipindi wako hot ,kuna show yao moja, Shabiki wa kike alienda jukwaani ku hug Makamua hapo hapo akazimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…