Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

Hiyo kitu inasemekana na princess dianna alikuwa nayo,unapendwa kupitiliza mpaka mtu akikuona anaweza kulia au kuzimia.
 
Daah huyu jamaa mganga wake alikua fundi 😂😂😂.

Sidhani kama kuna msanii atafikia level zake kwasasa, kila nchi akienda anajaza nyomi, alifahamika kwa kila rika.
Hadi babu yangu alinunuaga mkanda wake(vhs)le mikate.
 
Elvis Presley
Huyo bado sana tena sana ingawa wafuasi wa muziki wa Rock wanatambua mchango wake.

Katika kipindi cha miaka 100 iliyopita, hajatokea mwanamuziki anayependwa kama Michael Jackon labda huko nyuma huenda yupo/wapo

Ukitaka kuona hilo fuatilia takwimu za mauzo ya kazi zao, ushawishi wao kwenye jamii na mahudhurio ya watu kwenye matamasha yao.
 
MJ alikua anajulikana na takriban kila mtu hadi wabibi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom