VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

Hizo ni squarts!! Haina tatizo kama umeenda kufanya mazoezi!

State of mind za wahusika zisikuondoe kwenye reli!do for your good!
 
Hapo ni Bondeni kwa Madiba. Na SA kwa mashoga wamejaa kama wote.
 
mkipata nafasi ahojiwe kama kipa bado yupo ulingoni
Una Roho mbaya sana na wewe lijamaa yaani ukifa mke wako ataolewa siku ya matanga na hilo li avatar lako li baya la hovyo hovyo,
Hovyo kabisa wewe lijamaa na hapa nipo live bila chenga sikuogopi na kama ukinijibu nawaambia mods wakupige ban maisha na kama hujui Max Melo ni Mjomba wangu hivyo siogopi lolote na chochote nipo tayari kwa mpambano!
😂😂😂

Note & Warning Comment yangu haihusiani na comment Yako mkuu! Nikifa MkeWangu Asiolewe
 
Mke wangu hata olewa labda akuoe mkuu 😂 😂
 
Back
Top Bottom