Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,404
Reaction score
1,516
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.

 
Nenda utube kaangalie mkutano, unaweka upuuzi wa sekunde 60 una uingizia maneno. Kaangalie mkutano upo U tube, hakuna longolongo.
 
Hii video ingekaa poa kama mchukua picha angekuwa juu ya jukwaa nyuma ya JPM alafu tuone watu wanavyoondoka.
Lakini kuweka video ya mkutano ulioisha wa siku za nyuma na kuweka sauti ya JPM ni uwongo wa hali ya juu.
 
Hii si Mikutano ya kampeni ni MAONESHO YA WANAMUZIKICCM
Screenshot_20201003-161217.jpg
Screenshot_20201003-161217.jpg
 
Back
Top Bottom