Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Sijapenda mtu mwenye akili timamu kudanganya watu kirahisi hivi inatia hasira sana
Huu ushabiki wa kijinga ndio ulifanyika hata wakati wa corona, wanatengeza picha halafu wanasema watu walikuwa wanakufa ovyo na corona, mimi naamini kama ujinga ule haukufanikwa hata huu pia hautafanikiwa, inabidi watu wenye uelewa tuwe watazamaji tu maana wajinga wanajipa matumaini.
 
Mkuu..nime-share tu video hii..siwezi fanya huo ujinga wa kutengeneza video ili iwe nini, kwa manufaa ya nani..Mimi itanisaidia nini. Mimi sina chama ,narudia sina chama !
 
Hii video ingekaa poa kama mchukua picha angekuwa juu ya jukwaa nyuma ya JPM alafu tuone watu wanavyoondoka.
Lakini kuweka video ya mkutano ulioisha wa siku za nyuma na kuweka sauti ya JPM ni uwongo wa hali ya juu.
Wanajidanganya wenyewe Malalamiko FC
 
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.

Acha uongo dogo na picha na video za kuungaunga!! Ilikuwa live tv zote kila mtu kaona. Pia tuliokuwa Zanzibar tuneona live mpaka mwisho. Leo imewaumaaa sanaaaa!! Na bado!!!!!

Nikuulize unawashwawashwa na nini ndg yangu! Mbona pilipili ipo shambaaa? Sio jambo jema kwa mwanaume kuwashwawashwa!
 
Huu ushabiki wa kijinga ndio ulifanyika hata wakati wa corona, wanatengeza picha halafu wanasema watu walikuwa wanakufa ovyo na corona, mimi naamini kama ujinga ule haukufanikwa hata huu pia hautafanikiwa, inabidi watu wenye uelewa tuwe watazamaji tu maana wajinga wanajipa matumaini.
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Hii video ingekaa poa kama mchukua picha angekuwa juu ya jukwaa nyuma ya JPM alafu tuone watu wanavyoondoka.
Lakini kuweka video ya mkutano ulioisha wa siku za nyuma na kuweka sauti ya JPM ni uwongo wa hali ya juu.
Nimemshangaa!! Mwaka huu watatagaaa! Tena yai viza!
 
Acha uongo dogo na picha na video za kuungaunga!! Ilikuwa live tv zote kila mtu kaona. Pia tuliokuwa Zanzibar tuneona live mpaka mwisho. Leo imewaumaaa sanaaaa!! Na bado!!!!!

Nikuulize unawashwawashwa na nini ndg yangu! Mbona pilipili ipo shambaaa? Sio jambo jema kwa mwanaume kuwashwawashwa!
Madame ,nimekuelewa ila mbona unatumia lugha Kali wakati Mimi nime-share tu kwa wanajamiiforum.
Naomba urekebishe lugha yako ya kuwashwawashwa...maana ina maudhui mabaya!

Kingine Mimi siyo dogo kama unavyodhani ..naweza kuwa sawa na Kaka yako (kama unayo) au nikawa sawa na wewe kiumri..so kuwa makini usiendeshwe na hisia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kubishana na mental disorder people mkuu
 
Back
Top Bottom