Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Sio kuondoka tu wanayavua na kuyatupa matshirt waliolazimishwa kuyavaa , CCM Zanzibar Mpaka huruma , mtalii anakoma ubishi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kujua zaidi, hivi wazanzibar Walitoa maoni gani kwa warioba kwenye kipengee cha muungano kwa %. Na habari za Nahodha zikoje kwa anaefahamu or kukumbuka tafadhariSio kuondoka tu wanayavua na kuyatupa matshirt waliolazimishwa kuyavaa , CCM Zanzibar Mpaka huruma , mtalii anakoma ubishi .View attachment 1593527
Nimemwandikia barua kumuomba aondoke "ceremoniously" kwa kujitoa kwenye mbio hizi. Hii itampa heshima kubwa sana.Magufuli amekosa kibali cha wananchi,ni vyema akajitoa katika kinyang'anyiro hiki
Kiwanda cha uongo cha chadema kina tbs Siku hiziKatika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
Amekataliwa mbinguni na dunianiMagufuli amekosa kibali cha wananchi,ni vyema akajitoa katika kinyang'anyiro hiki
Na alisikika jiwe akiwashukuru wasanii sasa hii ngedere inapinga nini?Mbona unawafokea! Watu walikuwa wengi, lakini baada ya burudani wakaamua kuondoka. Kwani hapo wanafanyaje?
dalili ya mvua ni mawingu, Mwenyezi Mungu atujaalie kuiona hiyo tarehe 28 ili tukafanye jambo letu.Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.