Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Mhhh kwa hiyo umefika wakati binadamu anashindwa kutambua nyeupe na nyeusi?Ama kweli mapenzi ya kupitiliza yanatia upofu ni ugonjwa mbaya sana.
 
Ila CDM kwa propaganda mmeizidi CCm sasa.

Mnajuaa kutengeneza uongo kuwa ukweli mchana kweupe.
 
Nenda utube kaangalie mkutano, unaweka upuuzi wa sekunde 60 una uingizia maneno. Kaangalie mkutano upo U tube, hakuna longolongo.
Umeelewa mada au lengo LA mada?
Wewe unavyofikiri lengo LA hiyo video inataka kuonyesha nini!
 
Jpm viva2025
EihF1b6XgAAwdJ4.jpg
 
Hii video ingekaa poa kama mchukua picha angekuwa juu ya jukwaa nyuma ya JPM alafu tuone watu wanavyoondoka.
Lakini kuweka video ya mkutano ulioisha wa siku za nyuma na kuweka sauti ya JPM ni uwongo wa hali ya juu.
Sidhani kama ndiyo hivyo au LA..but Mimi nimeona ni-share na nyie !
 
nyie mbuzi acheni ujinga bana,ina maana diamond anapanda kisha rais ndio anahutubia[emoji28][emoji28][emoji28].

kweli ufala una watu wake,nao ni chadema.
Kuna sehemu imetajwa CHADEMA kwenye mada au video imehusisha CHADEMA kwa namna yeyote?
 
Ila CDM kwa propaganda mmeizidi CCm sasa.

Mnajuaa kutengeneza uongo kuwa ukweli mchana kweupe.
Sorry ...Mimi siyo CDM kama unavyosema ..na sipo active sana kwenye jukwaa hili LA siasa..kiufupi sina Chama mkuu.
 
Back
Top Bottom