Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Astaghafillulah !Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Uraisi kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar .watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
View attachment 1589217
Kwani inakuwaje? Kwani sio hivyo?nyie mbuzi acheni ujinga bana,ina maana diamond anapanda kisha rais ndio anahutubia[emoji28][emoji28][emoji28].
kweli ufala una watu wake,nao ni chadema.
Huko zenjibar hawakuwekewa uzio wa kuwazuia wasitoke ?Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
Bara wanamuita mekoVisiwani wanamwita ng'ombe
Naona Wcb wamepeleka vichwa viwiliHii si Mikutano ya kampeni ni MAONESHO YA WANAMUZIKICCMView attachment 1589224View attachment 1589225
Sidhani kama ndiyo hivyo au LA..but Mimi nimeona ni-share na nyie !Hii video ingekaa poa kama mchukua picha angekuwa juu ya jukwaa nyuma ya JPM alafu tuone watu wanavyoondoka.
Lakini kuweka video ya mkutano ulioisha wa siku za nyuma na kuweka sauti ya JPM ni uwongo wa hali ya juu.
Lori la mkaaJpm viva2025View attachment 1589253
Kuna sehemu imetajwa CHADEMA kwenye mada au video imehusisha CHADEMA kwa namna yeyote?nyie mbuzi acheni ujinga bana,ina maana diamond anapanda kisha rais ndio anahutubia[emoji28][emoji28][emoji28].
kweli ufala una watu wake,nao ni chadema.