Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Sio kuondoka tu wanayavua na kuyatupa matshirt waliolazimishwa kuyavaa , CCM Zanzibar Mpaka huruma , mtalii anakoma ubishi .
 
Magufuli amekosa kibali cha wananchi,ni vyema akajitoa katika kinyang'anyiro hiki
Nimemwandikia barua kumuomba aondoke "ceremoniously" kwa kujitoa kwenye mbio hizi. Hii itampa heshima kubwa sana.
 
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.

dalili ya mvua ni mawingu, Mwenyezi Mungu atujaalie kuiona hiyo tarehe 28 ili tukafanye jambo letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…