silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Sijaon
Sijaona mtu aloanguka, wala sijaona picha za kuogofya, acheni propaganda za kijingaShirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan.
Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya Jeshi la Marekani (USAF) aina ya Boeing C-17 iliyokuwa ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamid Karzai mjini Kabul. Video zilizosambaa katika mitandao ya kijamii, ambazo hazikuthibitiswa zilionesha watu wawili wakidondoka kutoka kwenye ndege hiyo.
Chanzo: Aśvaka News Agency
⚠️ TAHADHARI ⚠️
Video hizi zina maudhui ya kuogofya
View attachment 1894361
View attachment 1894353
View attachment 1894354
View attachment 1894355