Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Kwani STRUGGLE MAN na Bwana Utam wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ma mbwa kichaa yalojificha kwa kivuli cha dini hapo hakuna cha haki wala nini ni mwendo wa ubabe tu sasa dini ndo inataka hvyo dah!!Soma vizuri historia ya huu utawala wa Taliban na kwa nini ilifikia wamarekani na warusi kuingilia kati. Hawa jamaa ni makatili balaa mfano chini ya utawala wao ukikutwa umezini/kuchepuka adhabu ni kifo kwa kupigwa mawe; wanawake wakivaa akasahau kufunika kichwa anakula viboko hadharani; wanawake hakuna kufanya kazi yoyote ya kuajiriwa, wao ni kukaa home tuu. Juzi nimesikia hao wapiganaji kwenye miji waliyoiteka wanalazimisha kuoa wanawake kwa nguvu, yaani hata kama mwanamke hampendi mwanaume anaolewa kwa nguvu, kiufupi hawa jamaa ni balaaa.
Kama wadada wa kiarabu wapo saivi free wamekimbiwaNikipata conection naenda Kabul Afghanstan kucheki fursa huko.
Sure mkuu Kama hili la Lebanon linaniambia lifuateUnaludi na toto la kiarabu
Ukipagawa unadandia hata mbele ya BundukiHizo ni bangi. Unaanzaje kudandia ndege?
Sure mkuu Kama hili la Lebanon linaniambia lifuate View attachment 1894934
Wanakimbia maana hao jamaa utawala wao una Sheria Kali sana za kidini.Sasa Taliban wakipundua wananchi wanakimbia nini?kwani Taliban wanawaua wananchi ? Wao Nia yao si madaraka tu
Sio bangi , bali wanajatibu next available chance.Hizo ni bangi. Unaanzaje kudandia ndege?
Vipi mahakimu na majaji wetu nao ni wakamilifu kiasi gani?Mkuu usemacho ni kweli swali linakuja hao watoa hukumu ni wakamilifu kiasi Gani?wao hawatendi dhambi kabisa kabisa?huo ni uonevu Tu hakuna binadamu mkamilifu usipotenda Dhambi huku basi utatenda kule na ndo maana tunaoamini uwepo wa Mungu mwenye kuhukumu ni M/Mungu pekee alokamilika acha watu wakimbie wakaishi Uhuru wao!!
Fursa ya Ulaya Chief....Kwani watu wanakimbia ?waasi wanapoingia madarakani Mara nyingi wao wanapindua serikali na kukaa madarakani Sasa hapo wananchi kwanini wanaamua kukimbia mbona sielewi
Inahitaji kuona kwanza anachokikimbia, ndipo ujue kwa nini aliona ni bora adandie ndege.Hizo ni bangi. Unaanzaje kudandia ndege?
Eti huyu naye ni Muislamu na anatarajia Kukutana na Mola wake siku ya Qiyama!Sharia za kiislamu waislam wenyewe tunaziogopa ,ww ukikutwa unazini ukiwa ushaoa adhabu yako unafukiwa mwili mzima kinabaki kichwa tu kinapigwa mawe mpk unakufa na mkizini wote hamjaoa wala kuolewa adhabu yenu fimbo 100 kila moja sasa kwann watu wasidandie ndege
Kwani watu wanakimbia ?waasi wanapoingia madarakani Mara nyingi wao wanapindua serikali na kukaa madarakani Sasa hapo wananchi kwanini wanaamua kukimbia mbona sielewi
Nasikia watu wameanza kukimbia nchi yao wenyewe.
Wanawake ndio watakaoathirika na misimamo mikuu kwa hili kundi.