Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

Sijaon
Sijaona mtu aloanguka, wala sijaona picha za kuogofya, acheni propaganda za kijinga
 
Sijaon
Sijaona mtu aloanguka, wala sijaona picha za kuogofya, acheni propaganda za kijinga
 
Kwani ni lazima kuzini?.
Muislam wa kweli ni lazima aigope na kuikimbia zinaa Ustadh tongwe .
 
Kwani watu wanakimbia ?waasi wanapoingia madarakani Mara nyingi wao wanapindua serikali na kukaa madarakani Sasa hapo wananchi kwanini wanaamua kukimbia mbona sielewi
Unawajua taleban wewe, hawa ni binamu na Bokoharam, au alishababu .... Ni masela wanaojificha nyuma ya kivuli cha dini yao.

Kuongoza kwao ni kwa njia ya vitisho na ukatili ili watu wawaogope. Ndio maana wanaitwa terrorists. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa. Ndio maana raia wasio taka shida wanasepa mapema.
 
Hawa jamaa siku ya kwenda mbinguni wakikuta kumbe hizi dhambi zote kumbe husamehewa na kuingia mbinguni ni sote tunaingia watalalamika sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wametangaza kuwa nchi ya kifalme ya kiislamu, na wananchi wake wote ni waislamu sasa shida iko wapi? Wanaokimbia sio waislamu?
Soma vizuri historia ya huu utawala wa Taliban na kwa nini ilifikia wamarekani na warusi kuingilia kati. Hawa jamaa ni makatili balaa mfano chini ya utawala wao ukikutwa umezini/kuchepuka adhabu ni kifo kwa kupigwa mawe; wanawake wakivaa akasahau kufunika kichwa anakula viboko hadharani; wanawake hakuna kufanya kazi yoyote ya kuajiriwa, wao ni kukaa home tuu. Juzi nimesikia hao wapiganaji kwenye miji waliyoiteka wanalazimisha kuoa wanawake kwa nguvu, yaani hata kama mwanamke hampendi mwanaume anaolewa kwa nguvu, kiufupi hawa jamaa ni balaaa.
 
Zishike zote chief.. [emoji23]

Nyege si mchezo, tunapenda kuzini ila zinaa ni uchafu kwa kweli... Ni raha kumfanyia mwenzio, ila ukifanyiwa wewe ndio unaona ubaya wa zinaa
Mkuu usemacho ni kweli swali linakuja hao watoa hukumu ni wakamilifu kiasi Gani?wao hawatendi dhambi kabisa kabisa?huo ni uonevu Tu hakuna binadamu mkamilifu usipotenda Dhambi huku basi utatenda kule na ndo maana tunaoamini uwepo wa Mungu mwenye kuhukumu ni M/Mungu pekee alokamilika acha watu wakimbie wakaishi Uhuru wao!!
 
Umenena mkuu haiwezekani binadamu mwenye mapungufu kibao aniwekee sheria za hovyo kana kwmba yeye ni mkamilifu sana hawa Wahuni wanaichafua sana dini ni mbwa kama mbwa wengine acha wanaojijua wanapungufu ya kibinadamu wasepe wakaishi kwa uhuru kuliko huko jehanamu!!
 
Sisemi watekeleza hukumu ni watu wasafi la hasha, na ndio maana nabii issa aliwaambia watu yule ambae msafi awe wa kwanza kurusha jiwe, watu huwa tuna mihemko tukiona wenzetu wamekosea..

Hukumu ni zake Mwenyezi Mungu, na mpaka kufikia huko kuna vipengele lazima vipitiwe, mfano mtu awe kashuhudiwa na watu wa 4 wenye akili zao timamu, sio kusikia wala kuona mtu anaingia gest au geto, waone laiv tendo linatendeka, au lah mwenyewe akiri kutenda hivyo

Laiti tungeishi km munguu atakavyo dunia ingekuwa sehemu salama, ila ndio hivyo haiwezekani, ibilisi nae kaapa kutuvuruga vuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…