Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

Ni ma mbwa kichaa yalojificha kwa kivuli cha dini hapo hakuna cha haki wala nini ni mwendo wa ubabe tu sasa dini ndo inataka hvyo dah!!
 
Sasa Taliban wakipundua wananchi wanakimbia nini?kwani Taliban wanawaua wananchi ? Wao Nia yao si madaraka tu
Wanakimbia maana hao jamaa utawala wao una Sheria Kali sana za kidini.
 
Hizo ni bangi. Unaanzaje kudandia ndege?
Sio bangi , bali wanajatibu next available chance.
Insict ya survival inapofeli mahala ulipo , unajaribu the next available move ,
Wakati world trade centers towers zinalipuliwa , kuna watu walikuwa wanajirusha kutoka ghorofa za juu kabisa , na kufa , sio kwamba walikuwa wajinga , bali waliona kubaki ndani kwenye moto wa mafuta hakukuwa na tumaini lolote .
 
Vipi mahakimu na majaji wetu nao ni wakamilifu kiasi gani?
Wao hawafanyi makosa kabisa?
Mkuu kwenye jamii yoyote(Serikali) lazima kuwepo sheria, wasimamizi wa sheria pamoja na watu watakao hukumu pindi sheria zikikiukwa.
Kua hakimu haimaanishi kua wewe ni mtakatifu, hata hakimu akifanya makosa na yeye pia atahukumiwa na hakimu mwingine.
Hebu fikiria hapa nchini kusingekua na hukumu kwa yoyote ataefanya makosa hali ingekuaje?
Yaani wizi ruksa, ujambazi ruksa, mauaji ruksa, ubakaji ruksa kwa kua hakuna mtu mtakatifu asie na dhambi ili kuhukumu wafanyao makosa.
 
Eti huyu naye ni Muislamu na anatarajia Kukutana na Mola wake siku ya Qiyama!
 
Kwani watu wanakimbia ?waasi wanapoingia madarakani Mara nyingi wao wanapindua serikali na kukaa madarakani Sasa hapo wananchi kwanini wanaamua kukimbia mbona sielewi

Wengi wanaopindua serekali huwa sio watu wakawaida, wanakaribia kuwa Wanyama. Historia inonyesha wengi wanaopindua huwa ni Wanyama kwenye utawala wao.
Baada ya mpinduzi 64 Zanzibar, ndani ya kipindi cha mwezi mmoja waliua Zaidi ya watu 20,000/-. Na katika kipindi cha miaka 8 cha utawala wakimapinduzi waliopetea, kufungwa, kubakwa walikua ni wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…