DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Walimu wanatoa amri kwa walimu vizuri tu maana ndio mteja .Njoo apa Sinza tower high school kama kuna upuuzi wa fimbo kama izo .mtu anatoa ada m4 unaleta upuuzi ,ni shule za kimaskin ndio kuna upuuzi mwingi

Kuwa na adabu bwana mdogo,kama sio huyo mwalimu unadhani ungeweza kuandika huo ujinga ulioupost?
Zaa wako mtandike mnarudisha hasira kwa watoto wenzio nyie vipi na shule za kimaskini ndio kuna huu upuuzi elimu bure.
 
Imebidi tu nicheke
 
Wafiche kama wenzao police mpaka wauwe ndio ijulikane,husapoti wakati unachukia kwanini imerikodiwa??? Kuwa na imani na wengine sio lazima awe mwanao..kama wewe ulipitia mateso sio lazima wengine wapitie.
 
Niulize nyie wenzetu mmesoma shule gani? Sisi wa St. Kayumba mbona haya ndio yalikuwa maisha yetu? Nini kimebadilika saivi hadi mwanafunzi kuchapwa inaonekana big deal?!😳
 
nisingechapwa nisingekuwa nilipo

Kwani uko wapi zaidi ya kuuza nyapu na kuganga njaa?

Unajidanganya sana. Ati hapa nilipo!!!

Umefanya nini cha maana wewe? zaidi sana ulichofanikiwa ni kusubiri kukinga kamshahara cha laki tatu mwisho wa mwezi!!

Delusion much?
 
hapo kosa la mwalimu au walimu liko wapi matoto hayachapwi .
Huwezi kuona kosa la mwalimu kwa sababu akili huna.

Sheria ya viboko ifuatwe. Kuchapa mwisho VIBOKO VINNE tena kwa IDHINI YA MKUU WA SHULE NA KWA MAANDISHI.

Na viboko havitolewi hovyo hovyo. Ni mpaka kuwe na KOSA KUBWA la kinidhamu na liidhinishwe kwamba kweli hili ni KOSA KUBWA LA KINIDHAMU kwa mujibu wa SHERIA ZA SHULE ZILIVYOAINISHA MAKOSA HAYO.

Ni marufuku kuchapa watoto kama ng'ombe. Ukikiuka utashughulikiwa.

Na mimi nasema wawashughulikie maana tumechoshwa na walimu wahuni.

FUKUZA KAZI!!! Na ikibidi hata kufunguliwa MASHTAKA YA JINAI.

Hatuwezi kuwa na taifa la KUPIGANA MAFIMBO na MIJELEDI.
 
Ndo maana sioni huruma kwa wanaorekodi kujumuishwa kwenye haya matukio.

Badala ya kurekodi kidogo kisha wakachukua hatua wao wanarekodi mwanzo hadi mwisho hata kama mtoto atakufa kwa kichapo
 
Brilliant ideas!!! haya ndio mawazo tunataka,tuachana na fikra mgando kwavile mzazi alichapwa basi watoto lazima wachapwe,bahati mbaya watu wa aina yako ni wachache sana nchi hii,ila kwavile mnasimamia haki Mungu yupo pamoja na nyinyi,wanatushinda hata Kenya wamefuta hizi adhabu kitambo.
 
Ao watoto wamefanya ngono darasani sasa mnataka wawaache hivi hivi ???
Usiwazulie hawakufanya ngono kosa lao walichelewa kuingia Darasani...Ila walimu tuliofanikisha hili tunamshukuru waziri Mkuu tayari amelishughulikia.ilikuwa inatuumiza rohozetu kuona mateso waliokuwa wakipitia watoto,Again thank you Jamiiforums thank you Majaliwa you really deserve to be prime minister,ombi letu hii iwe nchi nzima
 
Wewe hufanyagi ngono?
Shukran za dhati kwako brother from another mother, Divisheni Foo!!! Waziri Mkuu amelishughulikia na yule Mwalimu aliekuwa akionekana kama anauwa Nyoka keshatolewa,waalim tuliofanikisha tunasema Asanteni wewe ni miongoni mwa waliochukizwa sio hao waliokuwa wakibeza kama hawana watoto. Ni matumaini yetu yaliowakuta watafute kazi za kufanya sio kutafuta mchwawi kwani mchawi ni wewe mwenyewe,huwezi piga mtoto wa mtu kiasi kile halafu uachwe. Hapa lengo letu walimu ieleweke sio kumfukuzisha kazi bali ni huruma kwa watoto wetu.. Mungu ibaliki Tanzania Mungu mbaliki Waziri Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…