DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi viskwambi vya kugaiwa vitafukuzisha waalimu wengi.
Mimi siwezi kusema lolote maana sijui hao wanafunzi walikosea nini.
Binafsi mzee wangu alikuwa mkali sana kwenye mslezi kuliko hao waalimu ila alinisaidia maana huenda ningeangukia kwenye makundi mabaya. Hii haimaanishi basupport hiyo adhabu.
 
akimpiga mwanangu hivi napambana naye mtaani usiku..wengine wataogopa. Serikali can not help, lililoo ni wazazi kupambana na washenzi hawa
Shule za kimaskini hayo ndio maisha.

Tafuta pesa mwanao asome shule nzuri

umaskini ndio unawafikisha maisha hayo
 
Unapata wapi muda wa kurekodi na kurusha kwenye group? Kama adhabu sio stahiki Kwa nini usiingilie kati ukamtuliza Mwalimu mwenzao! Kuna muda watoto wanakera mtu anaweza kushindwa kuzuia temper, hao wa pembeni walitakiwa kuzuia, ni usnitch tu kurekodi..
Niliwahi msaidie dogo asipigwe na my fellow ticha ,nkanuniwa Mwaka mzima na mwl mwenzangu....
Nikapambana pia asifukuzwe maana alitaka mgeuzia kesi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mnazijua vizuri kweli shule za kata nyinyi wandugu? Walimu wanaofundisha hizo shule, kwanza wana moyo sana.

Kile kizazi ni cha dunia nyingine kabisa. Imagine mwalimu anatakiwa ahakikishe mwanafunzi mtoro, mwanafunzi mvuta bangi, mwanafunzi anaye jihusisha na ukahaba, na kila aina ya uovu; afaulu mtihani!! Inawezekana kweli?

Mtoto wa aina hiyo ukijaribu kumuadhibu, ili arudi kwenye njia sahihi, unakutana na watetezi uchwara wa haki za binadamu!
Hawaziju yaani huku katani tunafundisha wake wenzetu,vibe10,wauza bange n.k,wanakuja class tayari washakunywa dabo kick ila hao Haki za binadamu watoto wao hawasomi huku hvyo hawajali Wala Nini,ila kiukweli shule za kata ni drama tosha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtu unamuona anamchapa mtoto sana au anapitiliza ! Kwanini huo muda wa kumrekodi usitumie kumnyang'anya fimbo huyo mwalimu?

Ili asimuumize mtoto !! Serikali iwe inawafukuza hata wanaorekodi ! Jifunzeni kuonyana na kuelemishana nyie kwa nyie.

Yaani kama una uwezo wa kushuhudia na kurekodi mtoto anapigwa hivyo , maana yake hata wewe ni katili unamrekodi katili mwenzio.

Huku mtandaoni tumewachoka ! Kila siku nyie kurekodiana tu au ndo fashion Walimu
Sorry. Kidhana anaweza akawa anakosea kurekodi video ila kiuharisia nikwamba yeye nae ashachoka kuona wanafunzi wanaonewa... mpaka anarekodi sio movie hiyo anajulisha umma maana sio shule mmoja hiyo bro so kaa kwa kutulia
 
Wanajizima data tu Hawa wanajifanya wao na ndugu zao wote wamesoma feza, hebu fikiria uhakikishe mtoto ambaye anatoroka wiki nzima kwenda kulala Kwa bwana anapata div 1, akipata zero jamii nzima inajifanya inastuka[emoji1787]
Mimi nawaambiaga jamani mtumie kondomu huko muendako,msijisahau mimba zipo na ukimwi upo....
Na nyie wavuta bange mkija shule msivute , mashuleni tuna masadala kibao(wauza bange)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sorry. Kidhana anaweza akawa anakosea kurekodi video ila kiuharisia nikwamba yeye nae ashachoka kuona wanafunzi wanaonewa... mpaka anarekodi sio movie hiyo anajulisha umma maana sio shule mmoja hiyo bro so kaa kwa kutulia
Sawa mkuu, alilipeleka kwenye kamati ya shule huyo mwalimu bado akawa mbishi ? Je kamati ya wazazi ? Je kwa viongozi wake wakubwa kama Afisa Elimu walishapewa taarifa? Mwalimu hawezi kuwa mbishi kiasi hicho labda kama ana psychological disiorder
Hawa hawaonyani wao kwa wao !!
 
Walimu tupo nyuma yenu msiache kuwanyoosha ao watoto wasiojitambua dawa ya mjinga ni kiboko huyu mtoa Mada ni mpumbavu tu watoto hawana Adabu wanafanya ngono darasani then mnataka mwalimu aawaangalie
Wakati huo wakifanya hayo, ratiba ilikuwaje?Ulikuwa muda wa vipindi au pumziko?

Binafsi sitetei mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi, ninachoshauri ni walimu kufanya kile walichosomea.
Watoto wakizidisha ukorofi ita wazazi wao au peleka polisi.
 
Wakati huo wakifanya hayo, ratiba ilikuwaje?Ulikuwa muda wa vipindi au pumziko?

Binafsi sitetei mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi, ninachoshauri ni walimu kufanya kile walichosomea.
Watoto wakizidisha ukorofi ita wazazi wao au peleka polisi.
Acha wapate Viboko
 
Unaamini kabisa uchapaji huo huyo mwalimu anamapenzi na hao watoto ??? Kwa hali kama hiyo upo uwezekano wa mtoto kupenda shule?? Unajuwa kama watoto Europe wanachukia shule zikifungwa na kufurahiya zikifunguliwa?? Fimbo zipigwe marufuku kupiga mke kuwe marufuku pia au Mke kupiga mume..no excuse.
Sasa mambo ya Europe ndiyo unayeleta kwetu kweli mkurugenzi!! Basi sawa. Naheshimu maoni yako.
 
Ndo maana yanakufa maskini,hakuna anaewakumbuka baada ya kufanikiwa kutokana na roho zao mbayaaa
Nitajie walimu masikini waliokuja kuomba msaada kwako?????Ujinga umewafanya mmekuwa na chuki za kipuuzi sana.Kosa la mtu mmoja unajulimshaje kila mtu????
 
Sasa mambo ya Europe ndiyo unayeleta kwetu kweli mkurugenzi!! Basi sawa. Naheshimu maoni yako.

Mimi nimesoma Uganda lakini kiukweli hata kule Uganda ukifanya ngono darasani mapadri lazima wakubanike matako yako nashangaa Mtu anafanya ngono darasani mnataka asipate bakora za kutosha
 
Ao watoto wamefanya ngono darasani sasa mnataka wawaache hivi hivi ???
 
Wanakuambia mchukue mtoto wako nenda naye nyumbani, Mara bod ya shule imemfukuza shule, ili uwabembeleze Kama unatafuta kazi kwao.
Kuna mamlaka za juu y bodi ya shu le ujue hata mahakamani
 
Tunatengeneza kizazi hatari sana sasa hapo kosa la mwalimu au walimu liko wapi matoto hayachapwi Ndio maana yanageukia tabia za ajabu ajabu kama kuvuta bangi usagaji, ulevi nk so binafsi fimbo inamrudisha mtoto mahali pake.
 
Back
Top Bottom