mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Sheria ya viboko inasemaje?
Mwisho 3 na mpigaji awe HM,au aliyeteuliwa kwa maandishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ya viboko inasemaje?
Mpaka hapo umeshaona kosa la mwalimu.Mwisho 3 na mpigaji awe HM,au aliyeteuliwa kwa maandishi.
Mtu unamuona anamchapa mtoto sana au anapitiliza ! Kwanini huo muda wa kumrekodi usitumie kumnyang'anya fimbo huyo mwalimu?
Ili asimuumize mtoto !! Serikali iwe inawafukuza hata wanaorekodi ! Jifunzeni kuonyana na kuelemishana nyie kwa nyie.
Yaani kama una uwezo wa kushuhudia na kurekodi mtoto anapigwa hivyo , maana yake hata wewe ni katili unamrekodi katili mwenzio.
Huku mtandaoni tumewachoka ! Kila siku nyie kurekodiana tu au ndo fashion Walimu
Mpaka hapo umeshaona kosa la mwalimu.
Ahsante.
Halafu linarekodi limejificha ili litume 😂😂 asifiwe !! Badala asaidie mtotoWalimu wanafki nafiki sana, walishindwa nini kumzuia huyo Mwalimu mwenzao anayepiga?
Halafu sasa mwalimu anaapply nguvu ya kutosha kwa mtoto mdogo !! Wanaadhibu kupitilizaHakika, miaka 5 nyuma mtoto wa dada angu alirudi kutoka shule ana bonge la nundu usoni mama yake akamuuliza umekuwaje akasema mwalimu kanichapa halafu akanipiga teke nikaenda kujigonga ukutani,,, weee dada yangu mashetani yalimpanda akaita bajaji hao tukaenda mpka shule ugomvi uliozuka huko mwalimu alijuta Kimjua huyo mwanafunzi na hakuwahi kurudia kumchapa tena hata kwa mfano.
Sheria ifuatwe.Nasisitiza viboko viondolewe kabisa hata hivyo 3 ni uonevu kwa mwananfunzi.
Mwanafunzi hajaenda shule kuchapwa.
Sheria ifuatwe.
Asiyetaka shule asilazimishweHujawahi kufundisha nyumban kwa majaliwa wewe hao watoto hawataki Elimu kabisa .... Unamfundisha mtoto mpk kikwapa kinanuka jasho na mtoto hataki kusema ameelewa au hajaelewa ,<<yaaan Bila hivyo hatuendi hapo hamna fimbo kabisa.... Na majaliwa mwenyewe anajua jamaa zake hawataki Elimu.....
This is COGNITIVE DISSONANCE.Hiyo mbona kawaida sana hiyo enzi zetu Amnaga na smart phone unapigwa na marungu sio fimbo ikafika mahali wanafunzi wakawa wanaenda na mapanga shuleni ubabe ubabe tu unyama kwa unyama mbona tulieshimiana tu
Kila mtu angetaka kubuni maneno tusingeelewana.Iache hivyo hivyo ulivyoiona imeandikwa na usiiweke unavyotaka wewe...
Dada yangu alie record kumbuka ana watoto pia wanasoma shule nyingine asingependa wapitie haya,kupoteza kazi sio issues chamsingi kwake huu ushenzi unawafikia wenye mamlaka na kuondoa hizi adhabu.Walimu was Kizazi kipya na wanafunz wa dot com.
Huwez ukamrekodi mwenzio unakuaa unahatarisha kazi yake.
Huwezi ukaacha kuongea tukasikia hapo .. mwambie aache, amchape vi3 tu. Na azungumze na mtoto( amshauri)
Huwezi Kaa ukirekodi, location yako inaonekana, side uliuokaa kwamba hutajulikana. Yaani wewe mchukua video ni abunuasi ..halafu haka ni kadada.
Mwanaume hawez fanya huo upuuzi.
NB.
Hii shule inajitahidi kuomdoa sifuri. Jitahidi I kubaini walimu wapuuz kama mrekodi hii clip.
Walimu wachache mnaangushana huyo mwalimu namlaani Sana na ataishia pabaya. Huyu mrekodi picha. Moigaji Sina shida naye. Watoto hamueajui vzr.. tatizo mchapaji hafuati utaratibu