Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Huyu Mwalimu atafutwe apigwe kama ngoma chizi sana, wanafunzi waanze kuwavizia na nondo na mawe, wajinga kama hawa ilibidi hata warogwe liwe libubu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mwalimu atafutwe apigwe kama ngoma chizi sana, wanafunzi waanze kuwavizia na nondo na mawe, wajinga kama hawa ilibidi hata warogwe liwe libubu
Mnazijua vizuri kweli shule za kata nyinyi wandugu? Walimu wanaofundisha hizo shule, kwanza wana moyo sana.Zifutwe kabisa mwalimu anatakiwa awe rafiki wa mwanafunzi sio Adui kama ilivo hii leo.
Wanajizima data tu Hawa wanajifanya wao na ndugu zao wote wamesoma feza, hebu fikiria uhakikishe mtoto ambaye anatoroka wiki nzima kwenda kulala Kwa bwana anapata div 1, akipata zero jamii nzima inajifanya inastuka🤣Mnazijua vizuri kweli shule za kata nyinyi wandugu? Walimu wanaofundisha hizo shule, kwanza wana moyo sana.
Kile kizazi ni cha dunia nyingine kabisa. Imagine mwalimu anatakiwa ahakikishe mwanafunzi mtoro, mwanafunzi mvuta bangi, mwanafunzi anaye jihusisha na ukahaba, na kila aina ya uovu; afaulu mtihani!! Inawezekana kweli?
Mtoto wa aina hiyo ukijaribu kumuadhibu, ili arudi kwenye njia sahihi, unakutana na watetezi uchwara wa haki za binadamu!
Mimi ndiyo maana nawaita wanaharakati uchwara. Wangekuwa wanakifahamu vizuri hiki kizazi cha sasa, wangeshauri tu hao walimu kupunguza uchapaji wa hivyo viboko. Ila siyo kuacha kabisa.Wanajizima data tu Hawa wanajifanya wao na ndugu zao wote wamesoma feza, hebu fikiria uhakikishe mtoto ambaye anatoroka wiki nzima kwenda kulala Kwa bwana anapata div 1, akipata zero jamii nzima inajifanya inastuka🤣
Tuanze kuwateka na kuwapiga kama ngoma waalimu wa hivi, hii haukubaliki, huo ni uuaji amenikera sana huyu mende.Kwaiyo mbadala wa kutoa usumbufu kwa watoto ndo kuwapiga kama wanaua nyoka? Waalimu wanatengeneza kizazi cha watu makatili….nimesoma shule ya kata tulikua tunapigwa mpaka wanafunzi wengine waliacha shule kwasababu ya kupigwa kama hivo [emoji174]
Na kuhusu swala la uwezo wa kuyamudu masomo sometimes ni juhudi za mwalimu husika wa somo na siku hizi walimu mwenyewe hawana huo ueledi wanaitisha tu hela za tuition usipolipia ndo imekula kwako.
Fimbo ni lazima, hapo kwenye idadi ya viboko na aina ya uchapaji ndo pakuangaliwa.Ila sijaelewa mnapambana kuzuia viboko au kiwango cha viboko!
Mi ni muumin wa kiboko!
Wazazi/walezi ndo chanzo cha tatizo lenyewe.
Wanafeli kulea nazo shule zinasajiri watoto wakorofi na watukutu mno bila namna.
Kule shule za private kuna afadhar kwa sabab aina ya tatizo lao ni deko.
Hawa wa uswazi na ndo walioko za serkali ni zao la malezi ya ovyo hadi shule hawataki. Adabu hakuna.
Vitoto hadi vinaona wazazi wanavyobanjuana vinaleta tabia shule.
Vitoto vinajua matusi mazito kama mama na shogake.
Vitoto vinajua kuiba wenzie kama babake.
vitoto vinajua kuchuna kama mamake.
vitoto vinajua kupigana kama wazaz wake.
Kifupi walimu wanapelekewa mali mbovu.
Na walimu wengine ni zao la ubovu huo huo!
Na mwalim ana ukomo wa mbinu za kumfanya mwanafunzi anyooke.
Elimu sio masomo ya darasan tu.
Pasipo na nidham elimu hujitenga.
Tusiangalie suala la viboko kama mbuni anayeficha kichwa tu udongoni.
Mpira urudishwe kwenye jamii.
Turudishe kamati ya wazee wa kimila ngazi ya kitongoji wenye mamlaka ya kuhoji malezi ya flan.
Tujadiri kiwango cha viboko nitaelewa.
Wanabifu ameamua kumchoma mwenzake, ila walimu ni manyumbu kweliKtk nchi hii kada ambayo inawatu hamnazo Basi ni hii kada,hata wewe uliyeleta hii video hopeless kabisa.haya Mambo muwe mnaonyana wenyewe huko ,mnatia aibu, tumewachoka mitandaoni .kwanza hapo uliporekodi tayari wamekugundua kuwa ww ndo mnoko, pochi lako linaonekana ,dawati ulilokaa .hii kada inawatu wa ajabu kweli.
hahah kuwapiga hapana, wanapaswa kuwajibishwa kwa namna ingine tu mkuuTuanze kuwateka na kuwapiga kama ngoma waalimu wa hivi, hii haukubaliki, huo ni uuaji amenikera sana huyu mende.
Kwa kizazi hiki cha kina baba wavaa milegezo,sikushangai kwa comment yako ya kijinga
Sababu hata nywele mmeshindwa kuchana!
Umeandika MANADHARIA mengi ya KUSADIKIKA.Ushauri wako ni wa kujibia mtihani au niseme unalenga zaidi wale wanafunzi wa mabasi ya njano.
Viboko vipunguzwe lakini kufuta kunatuharibia jamii (unaona sasa hivi vijana wanataka tu matokeo ya haraka haraka bila jitihada matokeo yake ndio kizazi cha Kubeti nk
Unajua watu mlio kulia familia Bora hamjui watoto wanavyolelewa huko vijijini
Wanafunzi, wakitoka break wanakwenda mashambani kuokota maembe ya watu, miwa, maparachichi nk wanafunzi wanakosa maswali hovyo hovyo kwa kutokujua umuhimu wa Elimu nk Bila fimbo kijijini hawaendi na wengi wataishia kuchunga mbuzi na kuanzisha familia.
Wazungu wanatudanganya tunacopy stage waliopitia pengine miaka 80 iliyopita na sisi tujifananishe...
wanaokaribia kwa mbali hiyo level ya wazungu ni wale wa mabasi ya njano au niseme familia bora.
Wanatuletea sheria za white house wakati huku ulimwengu wa tatu bado wanafunzi wanaiba maembe na miwa mashambani
Kuanika uhuni ni jambo jema.Baadhi ya walimu hawajitambui .kwanini wanachomeana utambi?
Walimu mnashindwaje kutoa product moja matata sana isijesahulika na taifa yani hamchapi wala hamtukani wala kukemea yani hamjali kwa chochote tupate majinga, malaya, majizi ya taifa kwa awamu moja tu flani iv special
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wajinga sana hawa.
Wanalazimisha watoto waelewe kwa nguvu
Mnajipa mizigo isiyowahusu!Ila sijaelewa mnapambana kuzuia viboko au kiwango cha viboko!
Mi ni muumin wa kiboko!
Wazazi/walezi ndo chanzo cha tatizo lenyewe.
Wanafeli kulea nazo shule zinasajiri watoto wakorofi na watukutu mno bila namna.
Kule shule za private kuna afadhar kwa sabab aina ya tatizo lao ni deko.
Hawa wa uswazi na ndo walioko za serkali ni zao la malezi ya ovyo hadi shule hawataki. Adabu hakuna.
Vitoto hadi vinaona wazazi wanavyobanjuana vinaleta tabia shule.
Vitoto vinajua matusi mazito kama mama na shogake.
Vitoto vinajua kuiba wenzie kama babake.
vitoto vinajua kuchuna kama mamake.
vitoto vinajua kupigana kama wazaz wake.
Kifupi walimu wanapelekewa mali mbovu.
Na walimu wengine ni zao la ubovu huo huo!
Na mwalim ana ukomo wa mbinu za kumfanya mwanafunzi anyooke.
Elimu sio masomo ya darasan tu.
Pasipo na nidham elimu hujitenga.
Tusiangalie suala la viboko kama mbuni anayeficha kichwa tu udongoni.
Mpira urudishwe kwenye jamii.
Turudishe kamati ya wazee wa kimila ngazi ya kitongoji wenye mamlaka ya kuhoji malezi ya flan.
Tujadiri kiwango cha viboko nitaelewa.
Mbona anampapasa!!!huyo sioni hata hizo fimbo zikiacha alama ktk ngozi.
Ndio maana zinafika 20 mwanamfunzi bado kalala tu hapo chini.
Umepata hiyo divisheni one lakini bado una matatizo mengi ya kiakili ikiwemo kutokujiamini na COGNITIVE DISSONANCE inayotokana na mijeledi.Mimi nikisoma sekondary tulikuwa tunachapwa viboko chini kabisa ni 6 (boys secondary school ) ila matokeo yake yakawa mazuri sana Nusu ya Darasa ikawa inapata Div 1 na hakuna kuchujwa kama siku hizi
Siku hizi ukifuatilia mashule ya vijijini robo tatu wanapata Div 4 na Zero
Wanatuletea sheria za white house wakati huku ulimwengu wa tatu bado wanafunzi wanaiba maembe na miwa mashambani
Viboko vya kikatili vimelisaidia nini taifa mpaka leo?Nimesema hivi, hoja nyingi za wana harakati ni za kujibia mtihani au pengine za kuombea hela kwa wafadhili ila Kiuhalisia, huwezi kufuta viboko mazingira ya kiafrika ukafanikiwa. Madhara yake utayaona baada ya miaka 15 hadi 20 hivi....