DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Zifutwe kabisa mwalimu anatakiwa awe rafiki wa mwanafunzi sio Adui kama ilivo hii leo.
Mnazijua vizuri kweli shule za kata nyinyi wandugu? Walimu wanaofundisha hizo shule, kwanza wana moyo sana.

Kile kizazi ni cha dunia nyingine kabisa. Imagine mwalimu anatakiwa ahakikishe mwanafunzi mtoro, mwanafunzi mvuta bangi, mwanafunzi anaye jihusisha na ukahaba, na kila aina ya uovu; afaulu mtihani!! Inawezekana kweli?

Mtoto wa aina hiyo ukijaribu kumuadhibu, ili arudi kwenye njia sahihi, unakutana na watetezi uchwara wa haki za binadamu!
 
Fimbo/Bakora ziwepo ila kwa kiasi,Wanafunzi wa sasa hivi wapendwa mnawajua mnawasikia?

Tusiwe tunatetea tetea tu,kama ni matako ndio yanayochapwa acha watandikwe,shida yangu

tutakorofishana mtoto arudi na alama mgongoni au popote pale tofauti na matakoni kwako

ila kwa dunia ya sasa,watoto ambao wanaweza mjibu Kunya MAMA MZAZI aliemzaaa asee bila

viboko tutawapoteza moja kwa moja hawa watoto,waache wachapwe ila wa deal na hayo matako TU

kuna makosa hayavumiliki kuna utovu wa nidhamu unahitaji Fimbo za kutosha tu ili akizikumbuka hizo Fimbo

akae mstari tena akae sawa sawa! Viboko viwepo tena viongezwe kwa watoto wote wasio na nidhamu mashuleni.
 
Mnazijua vizuri kweli shule za kata nyinyi wandugu? Walimu wanaofundisha hizo shule, kwanza wana moyo sana.

Kile kizazi ni cha dunia nyingine kabisa. Imagine mwalimu anatakiwa ahakikishe mwanafunzi mtoro, mwanafunzi mvuta bangi, mwanafunzi anaye jihusisha na ukahaba, na kila aina ya uovu; afaulu mtihani!! Inawezekana kweli?

Mtoto wa aina hiyo ukijaribu kumuadhibu, ili arudi kwenye njia sahihi, unakutana na watetezi uchwara wa haki za binadamu!
Wanajizima data tu Hawa wanajifanya wao na ndugu zao wote wamesoma feza, hebu fikiria uhakikishe mtoto ambaye anatoroka wiki nzima kwenda kulala Kwa bwana anapata div 1, akipata zero jamii nzima inajifanya inastuka🤣
 
Tumewahi kujiuliza kwanini shetani anachorwa kama mweusi, giza ni jeusi, wachawi wanawanga na kupenda giza jeusi, kaniki nyeusi, mambo meusi, weusi weusi weusi weusi...

Sisi ni tatizo hapa ulimwenguni.
Nashauri wazungu watuuwe watu weusi wote tufutike duniani.
 
Wanajizima data tu Hawa wanajifanya wao na ndugu zao wote wamesoma feza, hebu fikiria uhakikishe mtoto ambaye anatoroka wiki nzima kwenda kulala Kwa bwana anapata div 1, akipata zero jamii nzima inajifanya inastuka🤣
Mimi ndiyo maana nawaita wanaharakati uchwara. Wangekuwa wanakifahamu vizuri hiki kizazi cha sasa, wangeshauri tu hao walimu kupunguza uchapaji wa hivyo viboko. Ila siyo kuacha kabisa.
 
Kwaiyo mbadala wa kutoa usumbufu kwa watoto ndo kuwapiga kama wanaua nyoka? Waalimu wanatengeneza kizazi cha watu makatili….nimesoma shule ya kata tulikua tunapigwa mpaka wanafunzi wengine waliacha shule kwasababu ya kupigwa kama hivo [emoji174]

Na kuhusu swala la uwezo wa kuyamudu masomo sometimes ni juhudi za mwalimu husika wa somo na siku hizi walimu mwenyewe hawana huo ueledi wanaitisha tu hela za tuition usipolipia ndo imekula kwako.
Tuanze kuwateka na kuwapiga kama ngoma waalimu wa hivi, hii haukubaliki, huo ni uuaji amenikera sana huyu mende.
 
Ila sijaelewa mnapambana kuzuia viboko au kiwango cha viboko!
Mi ni muumin wa kiboko!
Wazazi/walezi ndo chanzo cha tatizo lenyewe.
Wanafeli kulea nazo shule zinasajiri watoto wakorofi na watukutu mno bila namna.
Kule shule za private kuna afadhar kwa sabab aina ya tatizo lao ni deko.
Hawa wa uswazi na ndo walioko za serkali ni zao la malezi ya ovyo hadi shule hawataki. Adabu hakuna.
Vitoto hadi vinaona wazazi wanavyobanjuana vinaleta tabia shule.
Vitoto vinajua matusi mazito kama mama na shogake.
Vitoto vinajua kuiba wenzie kama babake.
vitoto vinajua kuchuna kama mamake.
vitoto vinajua kupigana kama wazaz wake.
Kifupi walimu wanapelekewa mali mbovu.
Na walimu wengine ni zao la ubovu huo huo!
Na mwalim ana ukomo wa mbinu za kumfanya mwanafunzi anyooke.
Elimu sio masomo ya darasan tu.
Pasipo na nidham elimu hujitenga.
Tusiangalie suala la viboko kama mbuni anayeficha kichwa tu udongoni.
Mpira urudishwe kwenye jamii.
Turudishe kamati ya wazee wa kimila ngazi ya kitongoji wenye mamlaka ya kuhoji malezi ya flan.
Tujadiri kiwango cha viboko nitaelewa.
Fimbo ni lazima, hapo kwenye idadi ya viboko na aina ya uchapaji ndo pakuangaliwa.
Wazazi wa siku hizi hawataki mtoto aguswe, wana malezi mabovu sijawahi ona.
 
Ktk nchi hii kada ambayo inawatu hamnazo Basi ni hii kada,hata wewe uliyeleta hii video hopeless kabisa.haya Mambo muwe mnaonyana wenyewe huko ,mnatia aibu, tumewachoka mitandaoni .kwanza hapo uliporekodi tayari wamekugundua kuwa ww ndo mnoko, pochi lako linaonekana ,dawati ulilokaa .hii kada inawatu wa ajabu kweli.
Wanabifu ameamua kumchoma mwenzake, ila walimu ni manyumbu kweli
 
Tuanze kuwateka na kuwapiga kama ngoma waalimu wa hivi, hii haukubaliki, huo ni uuaji amenikera sana huyu mende.
hahah kuwapiga hapana, wanapaswa kuwajibishwa kwa namna ingine tu mkuu
 
Ushauri wako ni wa kujibia mtihani au niseme unalenga zaidi wale wanafunzi wa mabasi ya njano.
Viboko vipunguzwe lakini kufuta kunatuharibia jamii (unaona sasa hivi vijana wanataka tu matokeo ya haraka haraka bila jitihada matokeo yake ndio kizazi cha Kubeti nk
Unajua watu mlio kulia familia Bora hamjui watoto wanavyolelewa huko vijijini

Wanafunzi, wakitoka break wanakwenda mashambani kuokota maembe ya watu, miwa, maparachichi nk wanafunzi wanakosa maswali hovyo hovyo kwa kutokujua umuhimu wa Elimu nk Bila fimbo kijijini hawaendi na wengi wataishia kuchunga mbuzi na kuanzisha familia.
Wazungu wanatudanganya tunacopy stage waliopitia pengine miaka 80 iliyopita na sisi tujifananishe...
wanaokaribia kwa mbali hiyo level ya wazungu ni wale wa mabasi ya njano au niseme familia bora.
Wanatuletea sheria za white house wakati huku ulimwengu wa tatu bado wanafunzi wanaiba maembe na miwa mashambani
Umeandika MANADHARIA mengi ya KUSADIKIKA.
 
Walimu mnashindwaje kutoa product moja matata sana isijesahulika na taifa yani hamchapi wala hamtukani wala kukemea yani hamjali kwa chochote tupate majinga, malaya, majizi ya taifa kwa awamu moja tu flani iv special

Sasa hivi hakuna malaya na majizi?

Fimbo zimesaidia nini mbona mambo ni yale yale tu!

Mavuta bange yako miaka yote pamoja na mafimbo hayo!
 
Wajinga sana hawa.

Wanalazimisha watoto waelewe kwa nguvu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii sio elimu aisee!!

Unafosiwa kufaulu kwa mijeledi!!!!

Hatuwezi kuwa na taifa la aina hii watu wanabutuana mafimbo kama wanyama!!!
 
Ila sijaelewa mnapambana kuzuia viboko au kiwango cha viboko!
Mi ni muumin wa kiboko!
Wazazi/walezi ndo chanzo cha tatizo lenyewe.
Wanafeli kulea nazo shule zinasajiri watoto wakorofi na watukutu mno bila namna.
Kule shule za private kuna afadhar kwa sabab aina ya tatizo lao ni deko.
Hawa wa uswazi na ndo walioko za serkali ni zao la malezi ya ovyo hadi shule hawataki. Adabu hakuna.
Vitoto hadi vinaona wazazi wanavyobanjuana vinaleta tabia shule.
Vitoto vinajua matusi mazito kama mama na shogake.
Vitoto vinajua kuiba wenzie kama babake.
vitoto vinajua kuchuna kama mamake.
vitoto vinajua kupigana kama wazaz wake.
Kifupi walimu wanapelekewa mali mbovu.
Na walimu wengine ni zao la ubovu huo huo!
Na mwalim ana ukomo wa mbinu za kumfanya mwanafunzi anyooke.
Elimu sio masomo ya darasan tu.
Pasipo na nidham elimu hujitenga.
Tusiangalie suala la viboko kama mbuni anayeficha kichwa tu udongoni.
Mpira urudishwe kwenye jamii.
Turudishe kamati ya wazee wa kimila ngazi ya kitongoji wenye mamlaka ya kuhoji malezi ya flan.
Tujadiri kiwango cha viboko nitaelewa.
Mnajipa mizigo isiyowahusu!

Suala la maadili haliwezi kutatuliwa kwa mijeledi.

Fundisha, rudi nyumbani, subiri mshahara!!

Shule sio kwa ajili ya kila mtoto. Wasiofaa wataondoka, na wengine ikibidi waondolewe.

Lakini kuwabutua mijiledi HAPANA. Hatuwezi kwenda hivyo!
 
Mimi nikisoma sekondary tulikuwa tunachapwa viboko chini kabisa ni 6 (boys secondary school ) ila matokeo yake yakawa mazuri sana Nusu ya Darasa ikawa inapata Div 1 na hakuna kuchujwa kama siku hizi
Siku hizi ukifuatilia mashule ya vijijini robo tatu wanapata Div 4 na Zero
Wanatuletea sheria za white house wakati huku ulimwengu wa tatu bado wanafunzi wanaiba maembe na miwa mashambani
Umepata hiyo divisheni one lakini bado una matatizo mengi ya kiakili ikiwemo kutokujiamini na COGNITIVE DISSONANCE inayotokana na mijeledi.

Huna ulicho-achieve zaidi ya kubebelea mavyeti feki ya divisheni one.

That is not life. There must be discipline and dignity.

Hatuwezi kuruhusu VIBOKO VYA KIKATILI kwa watoto. NEVER.

Mkachapane mijeledi na baba zenu lakini sio kwa watoto.
 
Nimesema hivi, hoja nyingi za wana harakati ni za kujibia mtihani au pengine za kuombea hela kwa wafadhili ila Kiuhalisia, huwezi kufuta viboko mazingira ya kiafrika ukafanikiwa. Madhara yake utayaona baada ya miaka 15 hadi 20 hivi....
Viboko vya kikatili vimelisaidia nini taifa mpaka leo?
 
Back
Top Bottom