Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Hao walimu hawajionei huruma.
Mshahara mdogo halafu unatumia nguvu kubwaaa. Blaliwahedi hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao walimu hawajionei huruma.
Asante🙏waalimu wa nchi hii ni hopeless kabisaMambo ya vishkwambi ayo manyumbu yanarekodiana tu yakifanya ukatili kwa vijana wadogo hakuna kada ya wasomi wapumbavu kama walimu.
Usikute hata kufanikiwa kwenyewe hajafanikiwa. Ila kwa sababu mada inawahusu walimu, na yeye anajiona yuko juu yao. Maana kuna watu mpaka kesho wanafikiri walimu wote nchini ni maskini wa kipato, akili, fikra, nk! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
Haya, we jifanye mbishi. Ukitimuliwa kazi usilie lie.Mwanao amekushinda hapo home ndo maana umemsukumia maporini huko boarding school...
Wacha afundwe..
Na siku zote walimu wanatakiwa kuacha kujishughulisha na watoto wa kizazi cha sasa. Walimu wangetumia muda wao mwingi kwenye kufundisha, na pia kwenye kujiongezea kipato nje ya muda wa kazi. Litoto limeelewa, halijaelewa! Shauri yake!Safi sana Nkuu, maana matoto yenyewe baba na mama zao ndio Hawa wanaolialia hapa, kwa nini ujisumbue
Waache wavute bangi wakawapiga ngwara baba zao na kuwakaba mama zao
Zamani mtoto alikua ni Mali ya jamii, akizingua atakanywa kwa namna inavyofaa na mwanajamii yeyote na akirudi nyumbani pia atakiona, mwalimu alikua anaheshimiwa kama mzazi na kiungo muhimu kwenye jamii, hakuishia kufundisha pekeeNa siku zote walimu wanatakiwa kuacha kujishughulisha na watoto wa kizazi cha sasa. Walimu wangetumia muda wao mwingi kwenye kufundisha, na pia kwenye kujiongezea kipato nje ya muda wa kazi. Litoto limeelewa, halijaelewa! Shauri yake!
Wanatakiwa ku work under minimum stress! Mwisho wa mwezi chukua mshahara wao, maisha yanaendelea.
Kisa na mkasa cha kuhangaika na mtoto wa mtu!! Huna watoto wako wa kusimamia maadili yao? Unamuadhibu mtoto wa mtu, mwisho wa siku unaishia tu kunyanyapaliwa, kutishwa, kufukuzwa kazi, kufungwa, nk!! Hovyo kabisa.
Do something dadayangu usiishie kulaumu alie record ni miongoni mwa walimu tena ni mpya hapo shuleni ameweka jina la shule hivi wabongo mbona wajinga kiasi hiki??? Sasa akimstopisha huyo au asingetuma ndio ingezuia hii kitu Tanzania nzima bule kabisa wewe dada.M ndoningekujua wew punguani unayeona maovu alafu unaishia kurekodi yan kurekodi umeona n kitu cha maana Sana pumbavu kabisa wabongo machanjo yanatusumbua afya ya akili mwalimu chizi na anayerokod chiz
Kwa kizazi hiki cha kina baba wavaa milegezo,sikushangai kwa comment yako ya kijingaUnajifanya una uchungu na maadili mwenyewe!
We umiza mtoto wa mtu ushughulikiwe na hata hicho kibarua utapoteza pia.
Ukijifanya mjuzi utashughulikiwa tu.
Fanya yanayokuhusu, mengine achana nayo. FUNDISHA, RUDI NYUMBANI.
Usijifanye polisi wa maadili utajiponza. Hakuna aliyewahi kufanikiwa katika hilo.
Sasa iwe hukohuko watu wasione sio,hawa ni helpless they need your help, mwafrica haoni uchungu kama sio ndugu yake au mwanae,wewe angekuwa mwanao huyu ungechukuwa hatuwa badala ya kuona upuuzi..humu kuna mataifa ya nnje yanaona pia mabalozi nk in case wataona hao watoto watapata msaada...na wewe subiri itokee kwa mwanao ili ndio uone huruma.Huu upuuzi utaisha lini lakini....
Why this!?? Kwanini tunarekodi... Kwanini tusheee....
NI UJINGA KUMFUKUZA WHISTLE BLOWER! ukiona kamrekodi ujue hata yeye hajapendezwa na hayo yanayofanyika! huyu mwalimu apewe marufuku kuchapa! na apewe adhabu ya kuomba msamaha kwa wazazi wa watoto hao! huu sio upigaji ni unyama! sifa ya kwanza mwalimu ni kuwa rafiki wa mwanafunzi! no wonder wanafunzi wanauaga walimu wakiwakuta mtaan hukoMtu unamuona anamchapa mtoto sana au anapitiliza ! Kwanini huo muda wa kumrekodi usitumie kumnyang'anya fimbo huyo mwalimu?
Ili asimuumize mtoto !! Serikali iwe inawafukuza hata wanaorekodi ! Jifunzeni kuonyana na kuelemishana nyie kwa nyie.
Yaani kama una uwezo wa kushuhudia na kurekodi mtoto anapigwa hivyo , maana yake hata wewe ni katili unamrekodi katili mwenzio.
Huku mtandaoni tumewachoka ! Kila siku nyie kurekodiana tu au ndo fashion Walimu
kurekodi ni msaada mkubwa sanaMambo ya vishkwambi ayo manyumbu yanarekodiana tu yakifanya ukatili kwa vijana wadogo hakuna kada ya wasomi wapumbavu kama walimu.
angalia vizuri anapiga mpaka kichwaniNilichopenda jamaa anachapa makalioni hatumii ngumi Wala nn? Hiv ushawahi kupigwa na afande ww au Kwa sababu huwa hawarecord?
💯 perWakipiga marufuku kupiga mashuleni,
Hata ukatili majumbani utapungua pia
Serikali ndio chanzo cha ukatili na wanashindwa kutoa maamuzi magumu
Huwezi kusema tu tutaliangalia
PM hana maamuzi peke yake ni lazima lijadiliwe kwa upana
Kila leo tunasikia ooh nchi ya Amani lakini kuna ukatili zaidi ya nchi zenye vita
Mara baba kamlawiti mwanae, wanawalawiti na watoto wanashindwa kusema kwa sababu na shule wakienda wakishindwa kujibu wanachapwa na hao wapumbavu badala ya kumuuliza mtoto nini kinachokusibu mpaka unakuwa mnyonge hivyo?
Mwalimu hana ukaribu na mwanafunzi anamuona kama adui yaani kama mfungwa na gereza au mgonjwa na nesi au doctor yaani wote wamoja
Hii ni kwa sababu hatuongei kwa kutaka kujua tatizo na kutatua bali ni matusi, kufoka, adhabu na fimbo na hata kuuwa kabisa
Poleni sana kama hamtabadilika mtaishi kama wanyama tu
Umeongea ukwel mtupu mtupu,n.Wakipiga marufuku kupiga mashuleni,

Ukweli mtupu na inaoneka upo nnje ya bongo,walio bongo wanaishia kulaumu hapa tu,either kwa mleta post kwanini kaileta,hawaoni huu ni unyama kama ulivoufafanuwa.Wakipiga marufuku kupiga mashuleni,
Hata ukatili majumbani utapungua pia
Serikali ndio chanzo cha ukatili na wanashindwa kutoa maamuzi magumu
Huwezi kusema tu tutaliangalia
PM hana maamuzi peke yake ni lazima lijadiliwe kwa upana
Kila leo tunasikia ooh nchi ya Amani lakini kuna ukatili zaidi ya nchi zenye vita
Mara baba kamlawiti mwanae, wanawalawiti na watoto wanashindwa kusema kwa sababu na shule wakienda wakishindwa kujibu wanachapwa na hao wapumbavu badala ya kumuuliza mtoto nini kinachokusibu mpaka unakuwa mnyonge hivyo?
Mwalimu hana ukaribu na mwanafunzi anamuona kama adui yaani kama mfungwa na gereza au mgonjwa na nesi au doctor yaani wote wamoja
Hii ni kwa sababu hatuongei kwa kutaka kujua tatizo na kutatua bali ni matusi, kufoka, adhabu na fimbo na hata kuuwa kabisa
Poleni sana kama hamtabadilika mtaishi kama wanyama tu
Umeona wabongo wanataka iwe siri. Bila kujuwa uwezo kwa alie record wanaishia kumlaumu.tena ameweka jina la shule hapo,kurekodi ni msaada mkubwa sana
Zifutwe kabisa mwalimu anatakiwa awe rafiki wa mwanafunzi sio Adui kama ilivo hii leo.Dah
Ukatili, Vitisho, Mateso, Adhabu kinaweza kuwa chanzo cha kumharibu mtoto badala ya kumjenga.
Fimbo itumike kwa mpangilio na kiasi
Baadhi ya walimu hawajitambui .kwanini wanachomeana utambi?Sasa nimeamini adui namba 1 wa mwalimu, ni mwalimu mwenzake. Sijaona mantiki ya kurekodi hizo videos na kuziweka mtandaoni.
Ilikuwa ni rahisi tu kwa mwalimu kumshauri mwalimu mwenzake kuacha kutoa adhabu iliyopitiliza kwa mwanafunzi. Na kama hashauriki, bado kuna uongozi wa shule! Vikao vya staff, nk. Ifikie wakati baadhi ya walimu waache mambo ya kitoto.