DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Hii ni mbaya sana. Ukatili kwa watoto na wanafunzi una athari mbaya sana na za muda mrefu.Kwaiyo mbadala wa kutoa usumbufu kwa watoto ndo kuwapiga kama wanaua nyoka? Waalimu wanatengeneza kizazi cha watu makatili….nimesoma shule ya kata tulikua tunapigwa mpaka wanafunzi wengine waliacha shule kwasababu ya kupigwa kama hivo [emoji174]
Na kuhusu swala la uwezo wa kuyamudu masomo sometimes ni juhudi za mwalimu husika wa somo na siku hizi walimu mwenyewe hawana huo ueledi wanaitisha tu hela za tuition usipolipia ndo imekula kwako.
HAIFAI, HAIFAI, HAIFAI, HAIFAII!!!!!!!!
Kwanza, kwani ni lazima kila mtu asome au afaulu?
Wasioweza kuendana na shule waondolewe na sio kuumizwa!