JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sijaona Cha ajabu kabisa, kwa sie madingi zenu,tuliosoma miaka ya 90, hizo stiki za kawaida kabisa,Mtu unamuona anamchapa mtoto sana au anapitiliza ! Kwanini huo muda wa kumrekodi usitumie kumnyang'anya fimbo huyo mwalimu ? ili asimuumize mtoto !! Serikali iwe inawafukuza hata wanaorekodi ! Jifunzeni kuonyana na kuelemishana nyie kwa nyie.
Yaani kama una uwezo wa kushuhudia na kurekodi mtoto anapigwa hivyo , maana yake hata wewe ni katili unamrekodi katili mwenzio.
Huku mtandaoni tumewachoka ! Kila siku nyie kurekodiana tu au ndo fashion Walimu
Enzi hizo, ukichelewa kufika shule, stiki, ukishindwa SoMo stiki, Tena Mwalimu anachagua kwa kupiga, mgongoni, nyuma ya viganja vya mikono kwa kutumia rula.
Na hapo, Binti Bado hajaombwa mambo na ticha.