Pre GE2025 Video: Wazee wa kimila Singida wamteua Tundu Lissu kuwa shujaa wa Kinyaturu. Wamvika nguo za kimila ikiwemo kaniki na ngao

Pre GE2025 Video: Wazee wa kimila Singida wamteua Tundu Lissu kuwa shujaa wa Kinyaturu. Wamvika nguo za kimila ikiwemo kaniki na ngao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Mtu aliyepigwa risasi 36 na bado yupo hai, huyo sio shujaa?

Huyu hata akija kufa kabuli lake kitakuwa sehemu ya matambiko ya wapiganaji wengine
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Unajua unaweza kujua huyu mtu anamapunggufu kiasi gani kichwani kwa jinsi tu ya matamshi yake.Kweli unaweza kumdhihaki mtu hali yake bila kuangalia madhila aliyo pitia nakuwalaani watu walio mfikisha hapo. Aisee. Wal,, a sisemi sana.
 
Lissu hajabisha hata kidogo?

Maana huyu jamaa kila kitu atakuwa anakibishia na kutaka hoja
Wanaochekesha ni wafuasi wake. Wakati Mama Samia alipopewa Uchifu Hangaya walidharau na kukebehi kuwa ni ujinga. Leo anapewa Lissu wanashangilia! Kweli Prof. Safari hakukosea kuwaita Nyumbu!!
 
Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Hakuzaliwa na mapungufu walioondolewa walikuwa na mapungufu waliyozaliwa nayo.
 
Back
Top Bottom