MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mtu aliyepigwa risasi 36 na bado yupo hai, huyo sio shujaa?Haina kunguni hiyo kaniki? Halafu mila haziruhusu mtu mwenye mapungufu ya kimwili kuwa kiongozi. Zamani walikuwa wanawaondoa kisiri watoto wachanga wenye mapungufu
Huyu hata akija kufa kabuli lake kitakuwa sehemu ya matambiko ya wapiganaji wengine