Simba wame ufanya uwanja uwe na sifa mbaya hasa za kishirikina hasa wanapocheza Simba.Ni utovu tu wa nidhamu na kukosa shukrani kwa baadhi ya watu ila hakuna timu ambayo imeutangaza, kuubrand na kuuheshimisha uwanja wa Mkapa kama Simba SC.
Bila Simba, uwanja wa Mkapa ungekuwa kama uwanja wa Nakivubo tu.
Mechi 4 mfululizo mnapigwa pia makomandoo waliwazuia?Kwahio hapa tunadhibitisha ya kua kumbe yanga mlishirikiana na meneja wa uwanja na wale wahuni wahalifu wanaojiita makomandoo kuizuia Simba kwenda kuharibu UCHAWI MKALI SANA WA NDAGU uliowekwa na nyinyi ili muifunge Simba?
Meneja asiwaruhusu hao vigagula kuingia uwanjani kwasasa,,Simba washaona hii mechi itawapalia wameamua kutumia njia za mkato na ushirikina wao,,meneja kamatia hapo hapo wasikubabaishe na wasikufundishe kazi wanataka uwaachie gape wakachimbe chimbe uwanja na kufukia makafara yao usiwape iyo nafasi1. Kwa nini hii kauli ya kutofanikiwa isikike na "wazee" wa simba tu? Mbona viongozi hawatoi kauli?
2. Meneja wa Uwanja sii mwajiri wa TFF, mmiliki wa uwanja ni serikali. Sasa hawa wapangaji wanatoa wapi jeuri ya kuamua nani asimamie uwanja?
3. Huu ni ushahidi wa wazi hii yinu inaendekeza sana ushirikina. Haya yote ya kutaka meneja awapishe ni njia ya kutafuta kufanya uchawi uwanjani. Meneja hataki huo upuuzi, kama ilivyokuwa siku ya dabi.
4. Meneja anahusikaje na mbinu za kiufundi za simba mpaka "kauli" yake kwamba simba lazima wafungwe isababishe kupoteza mchezo? Meneja anaweza kuongea hivyo kama ilivyo kwa mashabiki wengine kwa mtazamo wake akizingatia ubovu wa timu iliyopo.
5. Baada ya kuchungulia kwenye rada zao za kishirikina na kubaini uwezekano wa kupata ushindi ni mdogo, waliamua kumshirikisha Mwamposa aliyewapa sharti la kutotumia ulozi, jqmvo ambalo kwa makolo ni ndoto. Sasa wamelazimika kurejea tena kwenye tunguli zilizokwama. Kwa maana nyingine hawa wazee wanaandaa mazingira ya kumshushia lawama meneja wa uwanja pale watakapotolewa. Huu ni upuuzi wa hali ya juu kabisa.
Naona umeamua kuwa mtunzi wa riwaya za kusisimuaSimba wame ufanya uwanja uwe na sifa mbaya hasa za kishirikina hasa wanapocheza Simba.
Klabu nyingi zilizo cheza na Simba kwa Mkapa zimekua zikilalamika vitendo vya hujuma na Ushirikina.
CAF kupelekewa malalamiko yanayo husu ushirikina pindi Simba inapotumia uwanja uo limekua jambo la kawaida.
Ndio maana CAF wakipata nafasi ya kuiadhibu Simba uwa hawana msalie.
Nikiwanja chenye alama ya hatari nyota 5 kwenye malalamiko ya vilabu vinavyo shiriki mashindano ya CAF kuhusu ushirikina hasa Simba wanapo utumia
Kiwanja chenyewe kimoja, mwisho wa siku tunapokonywa ule uwenyeji wa Afcon wabaki Kenya na wenzakeSimba wame ufanya uwanja uwe na sifa mbaya hasa za kishirikina hasa wanapocheza Simba.
Klabu nyingi zilizo cheza na Simba kwa Mkapa zimekua zikilalamika vitendo vya hujuma na Ushirikina.
CAF kupelekewa malalamiko yanayo husu ushirikina pindi Simba inapotumia uwanja uo limekua jambo la kawaida.
Ndio maana CAF wakipata nafasi ya kuiadhibu Simba uwa hawana msalie.
Nikiwanja chenye alama ya hatari nyota 5 kwenye malalamiko ya vilabu vinavyo shiriki mashindano ya CAF kuhusu ushirikina hasa Simba wanapo utumia
Huyu ni meneja bora kwa mwaka huu.Meneja asiwaruhusu hao vigagula kuingia uwanjani kwasasa,,Simba washaona hii mechi itawapalia wameamua kutumia njia za mkato na ushirikina wao,,meneja kamatia hapo hapo wasikubabaishe na wasikufundishe kazi wanataka uwaachie gape wakachimbe chimbe uwanja na kufukia makafara yao usiwape iyo nafasi
Hakuna mabounsa wa Al masry?Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
View attachment 3295606
Unajiaibisha mkuu. Unapoteza muda wako kumjibu mtu kama huyo. Mimi nilimpuuzia.Wakati meneja akishiriiana na Yanga ulikuwepo? Meneja muajiliwa wa serikali na jumamosi sio mda wake wa kazi, pili hakuwa na taarifaa hayo mazoezi mngefanya vipi?
Okay kwa hiyo sasa hivi mnamlamu meneja na sio wale mabaunsa?
Mpuuzi anatakiwa kujibiwa ndio maana hii comment niliyo muuliza hakujibu, kwani kujibu ni sawa na kujifunga yy mwenyewe na majibu yake so sioni nilipo jiabisha, bali nilikuwa na mwelewesha.Unajiaibisha mkuu. Unapoteza muda wako kumjibu mtu kama huyo. Mimi nilimpuuzia.
Kwa hiyo unaounga mkono huu upuuzi wa hawa mbulura? Yaani Meneja atoke kazini kwake kisa Wazee wa timu Fulani wamezuiwa kuingia uwanjani? Hii video mbona nayo ni ushahidi Kwa Yanga kumbe aliyewazuia Simba ni Meneja wa uwanja? Na viongozi wa Simba na Polisi mmewaacha watu siku 4 wanazurura tu karibu na Uwanja?Ni utovu tu wa nidhamu na kukosa shukrani kwa baadhi ya watu ila hakuna timu ambayo imeutangaza, kuubrand na kuuheshimisha uwanja wa Mkapa kama Simba SC.
Bila Simba, uwanja wa Mkapa ungekuwa kama uwanja wa Nakivubo tu.
Katika maisha ya kila siku ya mtanzania, "njoo kesho" kwenye taasisi za serikali tumezizoea ila hatuiti kuzurura.Kwa hiyo unaounga mkono huu upuuzi wa hawa mbulura? Yaani Meneja atoke kazini kwake kisa Wazee wa timu Fulani wamezuiwa kuingia uwanjani? Hii video mbona nayo ni ushahidi Kwa Yanga kumbe aliyewazuia Simba ni Meneja wa uwanja? Na viongozi wa Simba na Polisi mmewaacha watu siku 4 wanazurura tu karibu na Uwanja?
Jibu swali langu niondoke, unaunga mkono Wazee wazururaji waliokwenda kumfukuza Meneja wa uwanja usio wao ofisini kwake?Katika maisha ya kila siku ya mtanzania, "njoo kesho" kwenye taasisi za serikali tumezizoea ila hatuiti kuzurura.