DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,476 Apr 8, 2025 #41 Bila bila said: Jibu swali langu niondoke, unaunga mkono Wazee wazururaji waliokwenda kumfukuza Meneja wa uwanja usio wao ofisini kwake? Click to expand... Wananchi wana haki ya kuandamana kumuondoa Rais wa nchi ndiyo ije kuwa meneja wa uwanja wa mpira unaomilikiwa na umma? Swali lako halitakiwi kuulizwa na mtu anayejielewa. Nadhani nimekujibu swali lako. Haya ondoka!
Bila bila said: Jibu swali langu niondoke, unaunga mkono Wazee wazururaji waliokwenda kumfukuza Meneja wa uwanja usio wao ofisini kwake? Click to expand... Wananchi wana haki ya kuandamana kumuondoa Rais wa nchi ndiyo ije kuwa meneja wa uwanja wa mpira unaomilikiwa na umma? Swali lako halitakiwi kuulizwa na mtu anayejielewa. Nadhani nimekujibu swali lako. Haya ondoka!
kishumbaz JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,561 Reaction score 2,186 Apr 8, 2025 #42 Waufukweni said: Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa. View attachment 3295606 Click to expand... Hawa wazee wanajiona akina nani nchi hii🤣🤣🤣🙌
Waufukweni said: Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa. View attachment 3295606 Click to expand... Hawa wazee wanajiona akina nani nchi hii🤣🤣🤣🙌