Ingekuwa TFF ndio inaratibu mashindano hayo tayari serikali ya CCM ingekuwa imeshaingilia kati na siasa zakeuchwara. Imagine wanavyohangaika kama wendawazimu. Hivi walikuwa wapi kufuatilia mwenendo wa huu ukarabati tangu uanza? Waziri na naibu wapo, katibu wa wizara yupo, viongozi wa TTF japo siyo wtumishi wa serikali wapo! Lakini mambo yanafanyika kwa njia ya zima moto as if hiyo project haikuwa schedule/plan ya utekelezaji. LABDA KAMA KANDARASI ALIKUWA HAJALIPWA MAANA HII SERIKALI MANENO MENGI LAKINI UTENDAJI NI KARIBIA NA SIFURI.