VIDEO: Waziri Mkuu Majaliwa akagua Uwanja wa Benjamin Mkapa, adai ''hatuingilii maamuzi ya TFF, CAF wala FIFA''

Huyo shekh anafanya hivyo ili kuungwa mkono na wasio waislam ..baada ya kugundua waislam wenzie ni wanafiki sana ..hivyo anajifunza uzalendo polepole ndiyo maana sikubisha kwa asilimia 100% kuhusu uzalendo wake ila ukichunguza kwa akili madai yake yalikuwa kwa waislamu zaidi siyo taifa ..mtu anaye dai mahakama ya hadhi au wanafunzi kuvaa hijabu madai ya hiyo hata yakiwa ya kweli au ya haki siyo madai ya kitaifa zaidi ni madai ya kidini...uzalendo ni kulipigania taifa katika kusimama na HAKI SIYO DINI
Mavazi ni hiari ya mtu, Mahakama ya kadhi, pia ni Maamuzi yako Kwa kadiri ya Maisha unayotaka kuishi kama unaishi kiislamu utaenda huko, kama unaishi mchanganyiko, Mahakama ya sirikali itakufaa.
 
Huyo jamaa Mimi namdharau sana ana akili finyu mno.
Kumbe adriz hupoo shekh wangu ...asalamu aleku😁😁 vipi naona waislamu wanaendelea kutumikia mabeberu kule Burkinafaso kwa kushambulia mzalendo Toure ...je huu siyo ushahidi kuwa waislamu ndiyo maadui wa uzalendo duniani no 1...maana hao magaidi ya kiislamu ya Burkinafaso yanatumiwa na wafaransa ...nilieleza hapa sifa ya mtu asiye mzalendo kuwa ni rahisi kumtumia kipumbavu...
 
Jambo la Pitch kuwa sawa sio swala dogo maana hapo inaonekana walitengeneza vibaya mwanzo kwa hiyo kuweka mazingira ya maji yatembee chini kwa kiwango kikubwa inatakiwa waanzie kuweka mabomba nje ya huo Uwanja na hata iliwezekana ile sehemu ya kukimbilia ibomolewe ila wakiendelea kutumia mfumo wa zamani kwa kuongeza pipe chache watakuja kutengeneza tena..
Tatizo ni ufisadi,mimi sidhani marekebisho ya bilion zote hizo zingeshindwa kujua changamoto ni nini na litatuliwaje.
 
Mkuu niliwahi tembelea Ellis Park hapo nilishangaa kuona nje ya uwanja jamaa wanarekebisha mashine za kuvuta maji na taka ngumu kwenye mabomba ya maji yanayotoa maji kutoka kwenye pitch ya ndani daah niliuliza uliza maswali pale nikachoka na hiyo mitalo ni mikubwa nje ila inakua imefukiwa kwa zege na generator lake lipo hata umeme ukikatika sasa sisi tunategemea ngumu ya maji ndio yatoke yenyewe mpaka nje kwa majani ya kupandwa ni ngumu hiyo wanafanya kwa ile pitch inayokatazwa na FIFA tumechemka tunarudia makosa yale yale tena..
 
Ulisikiliza hotuba ta nyerere kuhusu harakati zao za mwanzo kudai uhuru kuwa walikwenda mkoa wa mbeya na walipo waita wazee kuwaambia kuhusu kudai uhuru wale wazee walimkazia macho wakamwambia kijana unataka tufe ...wakamwambia kuwa ujui kuwa tuliwai kujaribu kufanya hivyo tukauliwa na hao wakoloni ...basi nyerere anasimulia kuwa alipo s8kia hivyo akajua kuwa wale wasmzee wanajua mambo ya kudai 8huru na waliwai kufanya jitihada za kudai uhuru ila wanakumbukumbu mbaya ya waliyo tokea . Basi nyerere akawatuliza akawaambia atudai uhuru kwa njia ya vita wala damu bali ni kwakuzungumza na hao wakoloni ndipo wazee wa mbeya wakamkubalia....swali uoni hao wazee wa mkoa wa mbea wakikumbushia harakati za miaka ya nyuma ya kudai uhuru kabla ya hao kina Skyes wako...
Unajua maana ya Idea? Unaweza ukawa na Idea ila husijue uanzie wapo. Kumbuka kusafiri na kukaa nje ya nchi ni elimu na exposure tosha.Wakina Skyes walipata nafasi ya kwenda nje kwa ajili ya vita ya pili ya dunia, wakajifunza mengi kwa walio kutana nao na harakati zinavyo fanyika kwenye nchi zao.

Baada ya kurudi wakawa na blueprint ya jinsi ya kudai uhuru ndipo kwenye hizo harakati wakakutana na Nyerere ambaye alikuwa mzuri, kwenye kuongea na kuwasilisha mawazo na kwakuwa lengo lao na mitizamo yao,lilikuwa ni moja wakamchagua Nyerere. Sasa unawazungumzia wakina Mwaisa ambao hata walikuwa hawajui,dunia ipoje, harakati zinafanyikaje,hawana exposure ndio wakusaidie kudai uhuru?.

Moja ya maeneo waliyokuwa wakifanya vikao vya siri Nyerere na Mzee Skyes pamoja wenzake, lilikuwa Lumumba na kuna nyumba moja ipo Magomeni. Nyerere alikuwa anatoka Pugu mpaka Lumumba kwa miguu kwa ajii ya kupanga mikakati na kina Skyes, sababu alikuwa anajua wa kutumia uwezo wake na exposure ya akina Skyes wataipatia nchi uhuru.
 
Sasa wewe unaongea nini ....? Mara idea ilianza kwao mara siyo ila walikuwa awajui ianzie wapi ! Tena hapo kwenye kuanzia ndiyo nimekuambia kuwa kabla ya Nyerere onyesha harakati za hao waislamu ni zipi? zilikuwaje? zilifanyikaje? history yake iko wapi ? Mbona baada ya kuingia Nyerere ndiyo tunaona zaidi mwanga ....hivyo hata hao waislamu kabla ya Nyerere walikuwa awajui pa kuanzia au walikuwa ni feki tu kwa kukosa uzalendo kama nilivyo sema muislamu awezi kuwa mzalendo ...Nyerere ndiyo aliye leta njia ya kujua wapi pa kuanzia kwenye kidai uhuru siyo hao waswahili wa misikitini kazi yao ilikuwa kunywa kahawa wakiramba miguu ya mabeberu
 
Sasa wewe unaongea nini ....? Mara idea ilianza kwao mara siyo ila walikuwa awajui ianzie waoi ! Tena hspo kwenye kuanzia ndiyo nimekuambia kwa kabla ya nyerere onyesha harakati za hao waislamu ni zipi zilikuwaje zilifanyikaje history yake iko wapi ? Mbona baada ya kuingia nyerere ndiyo tunaona sasz mwanga hivyo hata hao waislamu kabla nya nyerere walikuwa awajui pa kuanzia au walikuwa ni feki tu kwa kukosa uzalendo kama nilivyo sema muislamu awezi kuwa mzalendo ...Nyerere ndiyo aliye leta njia ya kujua waoi pa kuanzia kwenye kidai uhuru siyo hao waswahili wa misikitini kazi yao ilikuwa kunywa kahawa wakiramba miguu ya mabeberu
Unamatatizo sio bure.
 
Unajua maana ya Idea? Unaweza ukawa na Idea ila husijue uanzie wapo. Kumbuka kusafiri na kukaa nje ya nchi ni elimu na exposure tosha.Wakina Skyes walipata nafasi ya kwenda nje kwa ajili ya vita ya pili ya dunia, wakajifunza mengi kwa walio kutana nao na harakati zinavyo fanyika kwenye nchi zao.

Baada ya kurudi wakawa na blueprint ya jinsi ya kudai uhuru ndipo kwenye hizo harakati wakakutana na Nyerere ambaye alikuwa mzuri, kwenye kuongea na kuwasilisha mawazo na kwakuwa lengo lao na mitizamo yao,lilikuwa ni moja wakamchagua Nyerere. Sasa unawazungumzia wakina Mwaisa ambao hata walikuwa hawajui,dunia ipoje, harakati zinafanyikaje,hawana exposure ndio wakusaidie kudai uhuru?.

Moja ya maeneo waliyokuwa wakifanya vikao vya siri Nyerere na Mzee Skyes pamoja wenzake, lilikuwa Lumumba na kuna nyumba moja ipo Magomeni. Nyerere alikuwa anatoka Pugu mpaka Lumumba kwa miguu kwa ajii ya kupanga mikakati na kina Skyes, sababu alikuwa anajua wa kutumia uwezo wake na exposure ya akina Skyes wataipatia nchi uhuru.
Ndiyo maana nikakuambia mbona harakati zilianza zaidi baada ya nyerere kuingia na kabla ya hapo hakuna cha maana ...kwanini walimsakizia nyerere kwani hao kina Skyes walikuwa awataki uongozi na urais wa nchi.
 
Tumia akili kudai uhuru kulikuwepo tangia mkoloni kuingia hata kabla ya kuwa na dini za kuletewa hivi nyinyi vichwa vyenu vipo timamu unaposikia vita vya majimaji wewe unadhani walikuwa wanapigania nini ? Idea ya uhuru ilianza kwa mababu wasio waislam wala wakristo
Maji Maji 1905-1907 Uislamu na Ukristo umeingia lini Tanganyika?
Mirembe wanakutafuta kijana daktari anasema umewatoroka.
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua miundombinu ya Uwanja wa Benjamin William Mkapa ikiwepo Viti vipya vilivyofungwa na eneo la kuchezea (Pitch).

Sema hàmuingilii waziwazi sio hàmuingilii.
Mbona viongozi wa TFF mnawaweka nyinyi.
Msiowataka wakigombea mnawapiga pini.
Where is MALINZI
Where is SHAFII DAUDA
Where is ALI MAYAI TEMBELE
WOTE hawa walikutana na figisu zenu.
 
Maji Maji 1905-1907 Uislamu na Ukristo umeingia lini Tanganyika?
Mirembe wanakutafuta kijana daktari anasema umewatoroka.
Kwa hiyo ulivyo ingia watu gafla binivuu waligeuka kuwa waislamu na wakristo wote .... miaka ya 1905-1907 watanganyika wangapi walikuwa waislamu au wakristo nakuakikishia miaka hiyo hata asilimia 10 awakufika hakukuwa na misikiti kila kona wala makanisa wala redio kwamba watu walikuwa wanasikiliza ....pia harakati za kupigania uhuru azikuanza huo mwaka ni pale tu wakoloni walipo ingia harakati zilianza.
 
Tatizo ni ufisadi,mimi sidhani marekebisho ya bilion zote hizo zingeshindwa kujua changamoto ni nini na litatuliwaje.
Tatizo Wana siasa ndio waamuzi WA mambo ya kitaaluma mfano Kauli ya Kiongozi kwamba wameridhika sio kauli sahihi kwani hawana taaluma hiyo ya kusema gharama ni sawa, mradi ulipofikiwa ni sawa, ubora ni sawa au umezidi matarajio n.k
 
Kumbe adriz hupoo shekh wangu ...asalamu aleku😁😁 vipi naona waislamu wanaendelea kutumikia mabeberu kule Burkinafaso kwa kushambulia mzalendo Toure ...je huu siyo ushahidi kuwa waislamu ndiyo maadui wa uzalendo duniani no 1...maana hao magaidi ya kiislamu ya Burkinafaso yanatumiwa na wafaransa ...nilieleza hapa sifa ya mtu asiye mzalendo kuwa ni rahisi kumtumia kipumbavu...
Wa'alaykum, Magaidi na Ugaidi hauna nafasi katika Uislamu hao wamepotea.

Ligi zinasiha betting kwisha utakula wapi sasa Mkamaria sugu ?
 
Weye wasema wamepotea ukiwa uvunguni wangekuwa mbele yako wange kukata kolomeo kwa kukuita kafiri......kuhusu ligi jana nimekosa milioni 13 kwa jero baada ya mechi moja kunichsnia treni la mechi 46...hivyo kama mambo yakiwa magumu shekh wangu nitajigeuza mnafiki wa Kiislamu na kusujudu mbele ya shekh Samia hassan suluu na kumwombea dia ya majini ...ili na mimi niambulie vininofu vya samia anavyo pewa na mabeberu
 
Attachments

  • Screenshot_20250518-163204_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250518-163204_SportyBet.jpg
    74 KB · Views: 24
Back
Top Bottom