Kitu chochote kinaanza na idea.Idea ya kudai uhuru ilianza baada ya wakina Mzee Skyes kutoka kupigana vita ya pili, waliona vuguvugu la mapinduzi kutoka nchi nyingine. Ndipo walipo rudi na wao wakaanza movement,hizi habari huwezi kuzipata ukivusoma vitabu vya shule pekee yake, ila kama mpenzi wa makala hizi, utakutana navyo. Sema nimesahau lilikuwa gazeti la mwaka gani, ila ni mwananchi.siajajua kama Library ya taifa kama bado ina utamaduni wa kutunza magazeti kama ilivyokuwa zamani, ila ni gazeti la kati 2010-15.