Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

Kwahiyo hata kula ni kusahau wananchi wako? Wacha upuuzi!
Ipo siku utakuwa na Iq kubwa
IMG_20231112_120411_335.jpg
 
Wanasema Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake! We ulitaka ale ugali mlenda kisa wapiga kura wake wanaishi maisha magumu? Mbona wewe uko mjini Kila siku unaponda Bata ilihali wazazi wako na nduguzo huko kijijini kwenu wanalala njaa?.

Mungu katuumba hivyo, kuzidiana uwezo ni kawaida na haitafutika mpaka Dunia inaisha
 
Kunywa bia mbili na valuu ndogo ni anasa?
 
Back
Top Bottom