Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

Wanasema Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake! We ulitaka ale ugali mlenda kisa wapiga kura wake wanaishi maisha magumu? Mbona wewe uko mjini Kila siku unaponda Bata ilihali wazazi wako na nduguzo huko kijijini kwenu wanalala njaa?.

Mungu katuumba hivyo, kuzidiana uwezo ni kawaida na haitafutika mpaka Dunia inaisha
 
Kunywa bia mbili na valuu ndogo ni anasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…