Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Vifuatavyo husema akili ya mtu..
Maneno yake kwa wengine..
Majibu yake kwa maswali ya wengine..
Mavazi yake...
Tabia zake....
Maeneo anayopendelea kwenda..
Kimbelembele chako cha kujibu, jibu sasa. Mbona unaanza kuzunguka mbuyu. Una makalio makubwa? Swali aulizwe mwingine wewe unadandia kujibu.
 
Kimbelembele chako cha kujibu, jibu sasa. Mbona unaanza kuzunguka mbuyu. Una makalio makubwa? Swali aulizwe mwingine wewe unadandia kujibu.
Majukwa ni ya mijadala... yeyote anauliza na yeyote anajibu.... ILA KWENYE MAJIBU YA MASWALI TUNATOFAUTIANA BUSARA....

Wengine majibu yao ni MATUSI yanayokwenda hata kwa mtu asiye na ID humu JF.... mfano mama, baba au ndugu mwingine yeyote asiyejua JF kunafanyika nini...

..."Emotional intelligence can predict one’s ability to navigate stressful situations, and the ability to learn to think critically".....
 
Jibu sasa sio unaanza kuleta vijinukuu vya kizungu ulivyoviiba mtandaoni; una makalio makubwa?
 
MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.
wema-2.jpg

Katika kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Zaiidi wa Wowowo ukipigwa wimbo ambao unaonyesha kumfuyrahisha mlimbwende huyo na kuamua wowowo lake hadharani.
 
Wanawake wenye makalio makubwa hawana akili,niulizeni mimi,siku hizi nimehamia kwa vimbaumbau.....
 
Wema ana tako kubwa jeupe tatizo tako lake gumu mno kama makaa ya mawe ya liganga mchuchuma[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom