Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Utu umeshuka bei, thamani ya pesa imepanda.

Hilo sio jambo jipya,, inaonekana wengi humu Dunia imewaacha nyuma kidogo.... hio ni vitu ipo siku nyingi..

Kutofahamu haya ndio huwa kunafanya watu tukishauri tuonekane tunaongea vitu havipo ilihali ni mambo yanatokea kila siku..
 


Upo sahihi 100%. Sina la kupinga. Jiulize kwanini mtu anayeweza kuisaidia familia yake aende kwenye utumwa. Hawezi labda kutafuta fast buck, kick.

Maskini anaenda kutafuta kipato kuisaidia familia, jamii yake.
 
Kuna watu humu wako katika harakati za kuhalalisha maovu. Eti kinks, mara sijui k ni chafu kuliko m*vi. Mshindwe na mlegee.
Mnataka tuwe na vizazi vya sexual addicts na deviants? Tutakuwa na watu wa aina gani kwenye jamii?
Wazungu wanadanganya kuwa ni mambo ya kawaida na kila mtu anapenda kitu chake lakini ni uongo wa hali ya juu madhara yake ni mafaa. Kumnyea mtu ni kink tu? Na hii mitandao na video za ngono mnazopenda kuangalia sijui kwa kweli. Yangu macho. Mtasema mmelogwa lakini mnajiloga wenyewe.
Na hao wanaopenda kujiuza wajue tu wakipoteza utu wao wamepoteza maisha hata wawe na pesa kiasi gani.
 
Nani alikwambia hayo ni maovu?

Enzi za Mababu na Mabibi zetu walikuwa hawavai nguo, baadae wakawa wanavaa nguo kuficha sehemu zao za siri unataka kutwambua walikuwa wanafanya maovu.

Mabibi zetu na Mama zetu walikuwa wanavaa nguo fupi ambazo hazivuki magoti unataka kusema walikuwa wanafanya maovu?

Nani alikwambia kula mavi ni maovu?
 
Sasa unakula mavi ili upewe hela, hizo hela unazopewa nazo haziwezi kuwa hela bali ni uchafu utakaokuingiza kwenye ufalme wa shetani na wewe kuendelea kuwa mtumwa kwenye ushetani.
Kwani kula mavi ni dhambi
 
Nikome. Kula m*vi ni sawa na kuvaa nguo fupi? Kumnyea mtu ni sawa na kutembea uchi? Apples and oranges. Una uwezo wowote wa kufikiri? Kama unafanya hivyo ni wewe usitake kuhalilisha jamii nzima ifuate mkumbo wako.
Tena ngoja nikutupie kwenye ignore list yangu.
 
Unayo matatizo makubwa sana!
 
Mavi kweli? Yaani ufurahie kinyesi? Kuna dhambi duniani
Hizo ni njaa tu, huwezi furahia hiyo kitu hata iweje. Hakuna cha fantasy wala nini ni umaaluni wa mwanaume + njaa za wanawake.

Kuna watu hawapendi kutoa pesa zao kirahisi ni furaha yao kuona mtu anaisotea hiyo pesa, kumfanya mbele anaona hajamkomoa, nyuma anaona si kitu tena, kumpaka nnya ndio labda anaona ni kitu cha kumtesa, so mtoa hela nadhani anaridhika kuona amempa mtu pesa baada ya kumtesa na dada nae sababu ya njaa +high ambitions ndio wanafanya hayo. Wasitudanganye ni fantasy bana weeee!
 
Unawazungumziaje wakurupukaji wanaowasema waarabu (waislam) kwamba ndio wameleta ushenzi huu??
 
Wanawake kama hawataki kufuata maelekezo ya Dini ya Uislam, wataendelea kudhalilika tu no matter what.

Povu rukhsa.

Njia ni moja tu no matter mtakavyowaona. Wafuate maelekezo ya dini ya uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…