Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Hao waarabu wapo sahihi kabisa..sisi wafrika ni wajinga kabisa tuna kila aina ya mali lakn tumekua fukara wa kutupwa,mfano TZ tuna almas,dhahabu,ruby,tanzanite,mbuga za wanyama,maziwa,mito ya kutosha,gesi na mambo mengi siwez kuandika hapa lakn ndan ya nchi yetu hii tunaletewa umaskn na viongoz wetu,hakuna tunachokosa leo tumekua ombaomba..basi niishie hapo tu.
Mkuu umeongea sahihi ila waarabu hawapo sahihi kwa wanachowafanyia Dada zetu
 
Ukweli ni kwamba zipo hata Video za wazungu wakifanyiwa hivyo na wazungu wenzao na waafrica pia nothing new
 
Ukweli ni kwamba zipo hata Video za wazungu wakifanyiwa hivyo na wazungu wenzao na waafrica pia nothing new
Hapana sio kweli, hakuna mzungu anaweza kubali upuuzi kama huo. Hizo video za wazungu almost huwaga sio real nyingi ni exaggerated
 
Mkuu moyo wangu umelipuka sio siri wanawapiga wakiwafosi wameze uharo lasivyo warudishe pesa. Wakimeza yanawacheka kwakuwamwagia mikojo. Wallllahh ningekuwa nina power hawa wapuuzi ningewapa masaa 12 wawe wameondoka bongo lasivyo mambo yangekuwa moto [emoji91]
Wewe una kichaa sio bure,
Ukatibiwe haraka
 
Mkuu sio ulikuwa unaangalia Porn ukakutana nayo mtandaoni.
Bro unawaza porn 😀😀iyo mbona ni trends ya tangu ijumaa Twitter dunia nzima wanajua, ma celebrities wa instagram ni wa kuwaogopa mishe wanazofanya na wadogo zetu wa kike wasitamani kabisa maisha yao , utashangaa bata nyingi na full kupost location nzurinzuri na misosi ya maana wakiwa DUBAI ila nyuma ya pazia aisee sio poa , safari kibao zisizo na maana DUBAI , na wakirudi wanatamba town na ndinga kali 😀😀
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Utajiua kwa msongo mkubwa wa mawazo nandomana kila siku kule Dubai na uarabuni Waafrika wanajirusha magorofani wanakufa

Dubai na uarabuni ndio nini sasa?😁 mnawachukia mno hadi mnaongea vitu visivyoeleweka enyi wagalatia, watumishi 😁
 
Ndoivo mkuu, ngozi nyeusi tunazaraulika sana, kitendo cha wazungu kutuletea mikorogo ili tujipake tuwe weupe ni dharau kubwa sana ni kiasi gn wanaona weusi ni jinai

Mikorogo ni hatari kwa afya , mtu anaejikologa utamjua tuu,, angalia vidole vya mkono na miguu unaweza shindwa kula mzehe 😁😁
 
Bro unawaza porn [emoji3][emoji3]iyo mbona ni trends ya tangu ijumaa Twitter dunia nzima wanajua, ma celebrities wa instagram ni wa kuwaogopa mishe wanazofanya na wadogo zetu wa kike wasitamani kabisa maisha yao , utashangaa bata nyingi na full kupost location nzurinzuri na misosi ya maana wakiwa DUBAI ila nyuma ya pazia aisee sio poa , safari kibao zisizo na maana DUBAI , na wakirudi wanatamba town na ndinga kali [emoji3][emoji3]
Dah [emoji22]. Ivi uwoya zile pesa anatoaga wapi.
 
Wanawake wa Nigeria kwa dola hata masikioni unamyea na wanaonekana ndio mifano ya kuigwa kwa maslay queens wetu,haki ya mama sipigi busu msichana yoyote aliyetoka Dubai bila kuwa na kazi ya kueleweka mbwanyie.
Mm naona Leo lahawa waarabu nikutudharirisha tu, imagine wanatoa mpaka mre than 120 millions per week, Sasa mapesa yote hayo lengo wawanyee tu Dada zetu
 
Dah [emoji22]. Ivi uwoya zile pesa anatoaga wapi.
Jiandaeni kuja kumchangia akichoka mwili, tajiri yoyote na anayepambana kutafuta pesa kwa jasho lake hawezi kufanya show off, kuna biashara haramu pale inaendelea kama sio kutumia uzuri wake kujipatia pesa ni kama wema kipindi kile watu wanatoa pesa ndefu wakina Msukuma wanapiga😀😀kuna sponsors nyuma yake
 
Back
Top Bottom