Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa.

"VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO WAJE KUWA KINA SAMATTA WA BAADAYE,MICHEZO NI AJIRA...CCM OYEEE,SAMIA OYEEE"

Yes hizo ni kauli za unafikinafiki sababu nchi inaenda kinafiki imekuwa jamhuri ya machawa, mavyawa mengine mababu kabisa maprofesa na yana vitambi ila machawa balaa, kudadadeeeki

Cheki hili bepari lilivyosepa na likiwanja likubwa namna hii, aisee hatari sana, shwaaaaaaaaa, awamu ya sita hiyo#UNANIJUA MIMI NANI WEWE?UNAIJUA V-8 WEWE?

Poleni sana wana yombo argentina, wanaupiga mwingi sana awamu ya sita

yombo 1.JPG
yombo.JPG
 
TULIA AMETANGAZA VITA NCHINI TANZANIA
inaonekana kwenye vikao vya uvccm ajenda ya kuua wapinzani huwa inapewa umuhimu sana kuna video majuzi imetembea kajmaa kanasisitiza kuua wapinzani
kuna ile ya kihongosi akiwa Iringa huko ya kuwaambia vijana wao wawadhuru kina mbowe na zitto, kuna ile ya mkuu wa wilaya ya ubungo akiwa arusha anakuambia "safari hii hatukosei tutamchoma hata sindano ya sumu"akimaanisha kumuua lissu
wote hao ni watu wenye vyeo na wanaitwa waheshimiwa ,LAKINI NAAMINI SIKU MOJA WISHES ZAO ZA KUMWAGA DAMU ZITAFANIKIWA WAONGEZE JUHUDI TU
 
Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa.........

"VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO WAJE KUWA KINA SAMATTA WA BAADAYE,MICHEZO NI AJIRA...CCM OYEEE,SAMIA OYEEE"

Yes hizo ni kauli za unafikinafiki sababu nchi inaenda kinafiki imekuwa jamhuri ya machawa, mavyawa mengine mababu kabisa maprofesa na yana vitambi ila machawa balaa, kudadadeeeki

Cheki hili bepari lilivyosepa na likiwanja likubwa namna hii, aisee hatari sana, shwaaaaaaaaa, awamu ya sita hiyo#UNANIJUA MIMI NANI WEWE?UNAIJUA V-8 WEWE?

Poleni sana wana yombo argentina, wanaupiga mwingi sana awamu ya sita

View attachment 2376217View attachment 2376227View attachment 2376230
Waambie waongeze sauti ya kumlilia maana hatujaisikia vizuri..

Au waende kaburini kabisa
 
Mwembeyanga temeke wamechukua, kule mchicha nyuma ya tazara wamechukua, pale temeke karibu na kwa azizi ally wamepiga pia.

Yaani mkuu wa nchi kashindwa kulinda hata maeneo ya watu kupumzika na kufanya michezo. Kisha bado anajiona anatosha kwenye urais.
 
Tumerudi kwenye uchumi fake kwa kasi ya ajabu,hela za dezo ndio ziko kwenye mzunguko now watu hawafanyi kazi wanategemea dili za wizi na ufisadi.ndio maana sasa hivi yale matamasha ya muziki ya kiingilio milioni 10 kwa meza ya watu wawili yamerudi kwa kasi.PESA HAINA THAMANI TENA HELA CHAFU IKO KWENYE MZUNGUKO,hatuna rais kwa sasa
 
Back
Top Bottom