11 Oktoba 2024
Yaounde, Cameroon
Cameroon Yapiga Marufuku Vyombo vya Habari Kujadili kuhusu Afya ya Rais Paul Biya aliyetoweka | Firstpost
View: https://m.youtube.com/watch?v=IeV0MvR4g4w
Huku uvumi ukiendelea kukua kuhusu Rais wa Cameroon mheshimiwa Paul Biya ambaye hayupo mara kwa mara hadharani hata katika habari za kurasa za mbele za magazeti ya chama na serikali , serikali imewaamuru magavana wa majimbo kupiga marufuku vyombo vya habari kujadili hali ya afya ya Biya kwa kuwa ni suala la usalama wa taifa.
Mkuu huyo wa nchi ambaye ana umri wa miaka 94 hajaonekana hadharani tangu mapema Septemba na ripoti zimedai kuwa anapumzika nchini Uswizi.
Lakini kupigwa marufuku kwa mijadala ya vyombo vya habari kunazua maswali mengi kuliko majibu. Je, kweli serikali ya Cameroon inaficha maelezo kuhusu hali ya Biya? Hivi Rais hayuko sawa kweli? Tazama sasa video hapo juu kujua zaidi. --- Kamerun | Rais