Video ya LIVE ya Rais Samia kwenye kilele cha mbio za Mwenge yaondolewa YouTube. Je, sababu ni kukohoa kwenye hotuba?

Kumbe ni afrika kote
 
Kumbe ni afrika kot
Kwa nini wameiondoa wanaficha nini?
Sijui
 

Mm pia nishangaa kuto iona hiyo hutuba
 
What is the point here if the disease is still a disease and cause rapid deaths??
 
Kuna taarifa BBC waliwahi rushwa ikionesha Warundi wakisherehekea Mpango kuwa VP ila huwezi ikuta walishaitoa na nilisahau kuisevu.

Pia Kuna nyingine VP Mpango akisema sababu za mradi wa bwawa la Nyerere kuchelewa ni ujenzi wa chini ya kiwango ambapo ililazimu.kurudia Baadhi ya maeneo nayo huwezi ikuta You tube walishaitoa na nilisahau kuisevu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MBONA TABORA WANAMFUNGA YA MAGOLI YA OFFSIDE JAMANI REFA HAONI?
 

WHO wanasemaje kuhusu hii mutation ya COVID virus?
 
Wakuu nini kinaendelea huko daslamu.. ?!
Wengine tupo namanyere tupeni habari za ndaaaani kabisa
 
moshiruangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…