Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Moja kwa moja..
 
Huko Kwa Mandela ni mbali, hata Nyerere na Tanzania tulisimama na Wapalestina kupitia Yasir Arafat na Chama Chao cha PLO.

Ndio sababu Wapalestina wakawa na ubalozi wao Tanzania lakini Israel hatukuwa na mahusiano nao ya kibalozi.

Wanaovuruga support Kwa Wapalestina ni kundi la Kigaidi la Hamas, hata tuliokuwa tunaisupport Palestine hatuko tayari kuunga mkono ugaidi wa Hamas.
 
Back
Top Bottom