Huko Kwa Mandela ni mbali, hata Nyerere na Tanzania tulisimama na Wapalestina kupitia Yasir Arafat na Chama Chao cha PLO.
Ndio sababu Wapalestina wakawa na ubalozi wao Tanzania lakini Israel hatukuwa na mahusiano nao ya kibalozi.
Wanaovuruga support Kwa Wapalestina ni kundi la Kigaidi la Hamas, hata tuliokuwa tunaisupport Palestine hatuko tayari kuunga mkono ugaidi wa Hamas.