Video ya mfanyabiashara alienusurika kutekwa kwa mtazamo wa kiuchambuzi Inafikirisha sana

Mimi sikuwahi kumjua ali kibao wala sativa hadi walipotekwa, hivyo sio rahisi kufahamu kila mtu.
 

Wewe endelea na vimaswali vyako uchwara. Siku ukitekwa wewe ndio utapata majibu.
 

Katafute chanzo nani kakuzuia?. Unajifanya mjuaji na hujui chanzo Cha Tarimo kutekwa. No research no right to speak.
 
Endelea kujifurahisha ukiingia kwenye kumi nane ndo utajua.
 
Mnabidi kuungana kukemea haya matendo MTU hata Kama Ana makosa kwanini umchukue kibabe hivyo .

Mambo Kama haya sio ya kujitia mchambuzi huku unachochambua hakipo.

Unatazama endapo swala hili likigonga hodi kwenye familia yako ndo akili itaanza kukukaa.
 
Waswahili huwa wana uwezo mdogo wa kuchambua mambo .

Hasa pale wanapoona hayo mambo hayawahusu moja Kwa moja.

Huyo jamaa Ana familia inamtegemea Ana ndugu au wazazi wanamtegemea n.k

Then sisi tunakaa na kujiita wachambuzi kwenye mambo Serious
 
Hata kama ni tukio la kutengeneza, funzo nililopata hii nchi usikae kindezi ndezi. maana kibonge alipambana hadi watekaji wenyewe wakaona hii shughuli nzito. Nadhani tukio lingefanikiwa hata jamaa aliyerecord asingeipost hiyo video kwa kuhofia ushahidi.
 
Umetanguliza hasira kwenye tumbo, Ndo maana unashidwa kuelewa ninachozungumza?? 🚮🚮🚮🚮
 
Katafute chanzo nani kakuzuia?. Unajifanya mjuaji na hujui chanzo Cha Tarimo kutekwa. No research no right to speak.
Leta sasa hicho chanzo ili tujadili kwa pamoja.. Unaonaje?? ✍️ ✍️
 
Jamaa kapigania maisha yake, angeingia tu kwa gari sasa hivi na yeye tungeanza kumuhesabisa siku za kupotea - zikishafika 30 basi ndugu wekeni majamvi mmalizie msiba.

Kumefika kipengele kigumu sana kama Taifa.

Ukihisi unawindwa basi jitahidi kuwa na hidden cameras kwa nguo zako zinazo transmit kila kitu utube site yako ili tupate pa kuanzia kukutafuta.
 
Ndio sababu hawakusema wao ni misukule bali walisema wao ni polisi
 
Hawa jamaa wanaojifanya kuteka watu bila kuonyesha ARREST WARRANT na VITAMBULISHO walahi kuna siku mtasikia WAMEULIWA NA RAIA!
Tusubiri mtasikia...
Tunawapa ONYO LA MWISHO!
 
Unaitumia r vibaya sana

Yaani msichojua ni kuwa hata kama mtu ana point kiasi gani ukishachanganya r na l unaonekana hujui kitu

Sijasema mtoa mada ana points lakini!
Na huu ndio ukweli, hauwezi kuwa mtu mwenye akili timamu kisha ushindwe tofautisha R na L..mleta mada anashindwa kutofautisha matumizi ya hizo herufi 2 atawezaje kuwa na upeo wa kuchambua mambo yanayohitaji ufahamu wa juu?
 
Hawa mataahira kwanza uelewe these days kigezo cha kupata ajira kitengo ni kuwa UVCCM, hiyo ndiyo qualification muhimu zaidi.
Utekaji:
Kabla hatujajua the real reason behind what transpired binafsi nadhani si vibaka wa mtaani bali ni vibaka wa dola, kusema kwamba the whole ordeal was staged nina wasiwasi nalo kwani things could have gone out of control kwa watu kuingilia kuwashambulia watekaji na hata kuwaua unless tuseme the whole community was part and parcel of the game. Yaani iwe wanafanya kama ni Bongo Movie wanarekodi huku wananchi wakiwa wanashangilia kama wanaangalia mpira.
Kama tukio limekuwa staged na wameuza sura vile unajua consequences zake, hao watu kwa watu kuamini ndiyo 'wasiojulikana' itakuwa vipi mitaa wanayopatikana? Kwanini hatujasikia dola likiwakama na kuwahoji kuhusu silaha na pingu kwani wote wameshajulikana kama si wenyewe wa vyombo vya ulinzi na usalama? Kwa tukio kama lile hata kama una silaha registered lazima uingie matatani na kuwa na pingu mtu binafsi na kuzitumia kufanya uhalifu hadharani ni nerves za aina yake dah..!
 
What was the source of all evil!!? Chanzo cha yote ni nini!!??
 
Kosa jingine, angalia alivyochomoka. Kirahisi rahisi anawakimbia bila hata ya kufuatwa!!!
 
Matacko yako wewe, siku akitekwa mtu wako wa karibu na kuishia kuchinjwa na akina mafwele na genge lake ndio akili itakurudia. Kitimoto wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…