Video ya mfanyabiashara alienusurika kutekwa kwa mtazamo wa kiuchambuzi Inafikirisha sana

Video ya mfanyabiashara alienusurika kutekwa kwa mtazamo wa kiuchambuzi Inafikirisha sana

Hakuna kinachoshindikana, kuna watu wanaandaliwa na wanakili walibaka na wewe na wote mnafungwa ukiwa hata huwajui na hata sura zao ndo mmeonana nazo mahakaman kwenye kesi. Mkuu hakuna linashindikana chini ya jua
Utakuwa sahihi kama hao watekaji watakamatwa na kufikishwa mahakamani, ili wakaeleze walimteka kwa sababu bonafsi.
 
No mfan
Natamani nijue huyo mtu anajihushisha na nini?? 🤔 🤔, mpaka ifike hatua ya kutekwa..

1. Je Ni mwanasiasa ??
2. Au ni Chawa wa Chama pizani??

Tofauti na hapo naona kama ni kiini macho tu..✍️ ✍️ ✍️ ✍️
ni mfanya biashara
 
. Wamesema wao ni polisi 🤔🤔???

. Vipi wangejitambulisha kama wao ni misukule, ungekubali kuwa kweli wao ni misukule????

. Pingu hata watu binafsi wanamiliki ✍️.


Swali langu bado lipo pale pale, huyo mtu alikuwa anajihushisha na nini??... Tukipata jibu hapa ndo tutajua shida imeazia wapi...
Ni mfanya baishara
 
Back
Top Bottom