Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_

Hapa director folex katisha sana hii video kalii sana

Comasava yanga day 🙌

Screenshot_20240726-005229.jpg

20240726_005537.jpg
Screenshot_20240726-004946.jpg

Screenshot_20240726-005124.jpg

View: https://youtu.be/RpZRtX2mQdc?si=Zb8NmX8hb3Up3Hvz
 
Oyaaaaa, unaniweka kwenye wakati mgumu mwanangu, dah.
Hiyo ngoma siikubali wala nini yani.

Ila nini? Tukutane Yanga Day.
 
Director Ivan alipoanza kufanya kazi na Diamond na wasafi kwa ujumla alijisifu sana mpaka kuwasema baadhi ya directors wenzake ambao hawajawahi kufanya kazi na Diamond kuwa bado ni watoto, hvy hawawezi kufanya kazi na watu wakubwa kama Diamond.

Sasa hv Diamond pamoja Wasafi nzima wamehamia kwa Director Folex na anawafanyia kazi nzuri zaidi ya Director Ivan (mtazamo wangu), lkn ht sijawahi kumsikia Director Folex akiwavimbia wenzake 💪

Kwenye haya maisha tujifunze ku-balance shobo na tusijikuze kutokana na mafanikio yetu
 
Yaan mtoto mzuri Kama Bantu Lady ni yanga?? I don't believe this

Yanga ni ya wadada Kama ephen_ Fujo nyingi
 
Director Ivan alipoanza kufanya kazi na Diamond na wasafi kwa ujumla alijisifu sana mpaka kuwasema baadhi ya directors wenzake ambao hawajawahi kufanya kazi na Diamond kuwa bado ni watoto, hvy hawawezi kufanya kazi na watu wakubwa kama Diamond.

Sasa hv Diamond pamoja Wasafi nzima wamehamia kwa Director Folex na anawafanyia kazi nzuri zaidi ya Director Ivan (mtazamo wangu), lkn ht sijawahi kumsikia Director Folex akiwavimbia wenzake 💪

Kwenye haya maisha tujifunze ku-balance shobo na tusijikuze kutokana na mafanikio yetu
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom