Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Wimbo mkali
Video kali mno
KOmasava ni kama project flani diamond amekua nayo serious sana!

Huu wimbo nmeupenda tangu siku ya kwanza kuusikia kile kipande Cha diamond mpaka nikajiuliza huyu Mond au nani? Mbona hii ngoma kama ina potential flani ya kufika duniani!
Wssioukubali huu wimbo ni watu wasiojua kucheza.. ila kama unadance ina vibe zaidi ya ile ya South
 
Wimbo ni mkali sana hata mimi nimeupenda kwa mara ya kwanza tu nilivyoanza kuusikia
 
Wanakosea sana kumfananisha Diamond na Ali Kiba bongo, Kibongo bongo Diamond hana mpinzani, Alikiba afananishwe na level zake kina Mbosso na Marioo... he's too next level kwa mziki wa Bongo..
 
Absolutely na kizuri jamaa hajui kulizika japo kafanikiwa sana hii inawashinda wasanii hata wachezaji wetu wa bongo wakishapa hizi mil 10-20 wanaona wamemaliza maisha
 
Back
Top Bottom