Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Yaniii umejuaje nilitaka nianzishe uzi japo mm sio mshabiki kivile wa dayamondi...ila kijana kajitahidi sana jamani yani kichupa ni ubaya ubwela mtupu...kazi wanayo wanaotoa vichupa vyao leo au kesho ..
Kwa hio Crown nae itakuaje na yeye ataachia mchupa kabla ya Sikukuu ya Makolo August 3 au itakuaje?
 
Tukutane kwa mkapa Comasava yanga day 🙌
Shadeeya Mahondaw ephen_ Nifah Mr Q
Mad Max Carleen
ukikaidi utapigwa2
KENZY
black angel
Shadow7
ngara23
Mpaji Mungu
BUSH BIN LADEN
MIXOLOGIST
uhurumoja
Tate Mkuu
LIKUD
Bantu Lady
TIMING
Natafuta Ajira
magnifico
Kitoabu
Msingida
Numbisa
Evelyn Salt
Wakipekee
MwananchiOG

Ndugu wana Yanga SC Unakosaje siku ya wananchi 💚💚💚 Comasava yanga day 🙌
Tukutane kwa mkapa mkuu.. kesho tunaanzia kwa Madiba
 
Back
Top Bottom