Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Badala mjadili mambo ya msingi yanayohusu uchumi na taifa kwa ujumla. Mnajadili upuuzi wa comasava ndio maana vijana wa hivi nchi tunaonekana mazuzu
Mkuu ungeficha huu upuuzi wako ungepungukiwa nn?? Ww ndio zuzu...hii video ni uwekezaji...na ishaanza onesha matunda yan cash flows...hapa jamaa atapiga shows nying...atalipwa dollars...atalipwa rand...atalipwa rupee..atalipwa euro..yuan na whtver kikubwa ni fedha za kigeni...na atakatwa kodi...fedha hizo atawekeza nyumban yan Tz atawalipa wafanyakazi....dancers...producers...kwa kifupi ataongeza mzunguko wa fedha...niendelee mwehu ww..unajua uchumi?...kwa nn kukawa na wizara ya sanaa na michezo..
 
Naunga mkono hoja
 
Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day ๐Ÿ™Œtuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_

Hapa director folex katisha sana hii video kalii sana

Comasava yanga day ๐Ÿ™Œ

Michael Jackson sits happily in hell, knowing he put his fans in the safe hands of Diamond Platnumz
 
Back
Top Bottom