Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Yan mjanja haswa kamtanguliza kwanza marioo na hakuna matata...afu kamkolezea...trending zitachuana ingawa baba ni baba tu hata akifa utaikuka picha seatroom..
Sasa hivi ndio Ina trending pale YouTube hii video inaweza kupiga watazamaji wengi ndani ya masaa 17 inaweza fikisha watazamaji milioni moja
 
Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_

Hapa director folex katisha sana hii video kalii sana

Comasava yanga day 🙌


Jamaa katumia hela ndefu sana,kwenye hii video.Kwa kifupi Mondi yupo seriously kupitiliza yaani zaidi ya userious wenyewe.

Mario nae Video yae nzuri kajitahidi sana,yaani ukiitizama unaona hela imetumika ,hasa yale mazingira yalio onekana kwenye Verse ya kwanza, sijui wapi pale.
 
Jamaa katumia hela ndefu sana,kwenye hii video.Kwa kifupi Mondi yupo seriously kupitiliza yaani zaidi ya userious wenyewe.

Mario nae Video nae katumia ,hasa ya mazingira yalio one kana kwenye Verse ya kwanza, sijui wapi pale.
Naunga mkono hoja mkuu jamaa fundii sana
 
Back
Top Bottom