Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Oyaaaaa, unaniweka kwenye wakati mgumu mwanangu, dah.
Hiyo ngoma siikubali wala nini yani.

Ila nini? Tukutane Yanga Day.
 
Director Ivan alipoanza kufanya kazi na Diamond na wasafi kwa ujumla alijisifu sana mpaka kuwasema baadhi ya directors wenzake ambao hawajawahi kufanya kazi na Diamond kuwa bado ni watoto, hvy hawawezi kufanya kazi na watu wakubwa kama Diamond.

Sasa hv Diamond pamoja Wasafi nzima wamehamia kwa Director Folex na anawafanyia kazi nzuri zaidi ya Director Ivan (mtazamo wangu), lkn ht sijawahi kumsikia Director Folex akiwavimbia wenzake πŸ’ͺ

Kwenye haya maisha tujifunze ku-balance shobo na tusijikuze kutokana na mafanikio yetu
 
Yaan mtoto mzuri Kama Bantu Lady ni yanga?? I don't believe this

Yanga ni ya wadada Kama ephen_ Fujo nyingi
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…